Polisi yatoa tamko juu ya miili saba ya Ruvu na kupotea kwa Ben Saanane

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
Polisi yatoa tamko miili 7 na kutoweka kwa Sanane

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu miili 7 ya watu iliyokutwa ikielea katika mto Ruvu na kusema kuwa linaendelea na upelelezi kwa lengo la kuwatambua marehemu hao.

Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya JInai Kamishna wa Polisi Robert Boaz, amesema jeshi hilo bado halijawatambua marehemu hao, huku akitetea uamuzi wa jeshi hilo kuzika haraka miili ya marehemu 6 kati ya 7.

"Hatua zote za kitaalam zilifuatwa na tunaendelea kufanya upelelezi unaolenga kuwatambua marehemu hao na kujua ni jambo gani liliwasibu, tunawasihi wananchi kuendelea kutupa taarifa zitakazosaidia kutambulika kwa marehemu hao" Amesema Boaz

Akielezea jinsi jeshi hilo lilivyopata taarifa, amesema jeshi hilo lilipata taarifa za kuelea kwa maiti 7 katika mto Ruvu eneo la Mkuruge wilayani Bagamoyo kati ya tarehe 6/12/2016 hadi 9/12/2016 ambapo askari na daktari walifika katika eneo la tukio na kufanya uchunguzi wa kitaalam.

Amesema miili 6 kati ya 7 ilikuwa imeharibika sana na ndiyo maana iliamuliwa zizikwe katika eneo la tukio wakati moja yenye unafuu ikipelekwa hospitali ya wilaya ya Bagamoyo hadi tarehe 16/12/2016 ilipozikwa na halmashauri baada ya kutotambuliwa na tu yoyote.

Kuhusu kutoweka kwa msaidizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Ben Sanane, Kamishna Boaz amesema jeshi hilo linaendelea na upelelezi ili kubaini mahali alipo na kilichomsi

EATV
 
HINTS:
Jeshi la polisi makao makuu wamesema bado wanaendelea kuchunguza taarifa za kupotea kwa Bernad Saanane.

· Polisi makao makuu wamesema hatua zote za kitaalamu zilifuatwa ktk kuzika miili sita iliyopatikana mto Ruvu na wanaendelea kufanya uchunguzi
 
Polisi yatoa tamko miili 7 na kutoweka kwa Sanane

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu miili 7 ya watu iliyokutwa ikielea katika mto Ruvu na kusema kuwa linaendelea na upelelezi kwa lengo la kuwatambua marehemu hao.

Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya JInai Kamishna wa Polisi Robert Boaz, amesema jeshi hilo bado halijawatambua marehemu hao, huku akitetea uamuzi wa jeshi hilo kuzika haraka miili ya marehemu 6 kati ya 7.

"Hatua zote za kitaalam zilifuatwa na tunaendelea kufanya upelelezi unaolenga kuwatambua marehemu hao na kujua ni jambo gani liliwasibu, tunawasihi wananchi kuendelea kutupa taarifa zitakazosaidia kutambulika kwa marehemu hao" Amesema Boaz

Akielezea jinsi jeshi hilo lilivyopata taarifa, amesema jeshi hilo lilipata taarifa za kuelea kwa maiti 7 katika mto Ruvu eneo la Mkuruge wilayani Bagamoyo kati ya tarehe 6/12/2016 hadi 9/12/2016 ambapo askari na daktari walifika katika eneo la tukio na kufanya uchunguzi wa kitaalam.

Amesema miili 6 kati ya 7 ilikuwa imeharibika sana na ndiyo maana iliamuliwa zizikwe katika eneo la tukio wakati moja yenye unafuu ikipelekwa hospitali ya wilaya ya Bagamoyo hadi tarehe 16/12/2016 ilipozikwa na halmashauri baada ya kutotambuliwa na tu yoyote.

Kuhusu kutoweka kwa msaidizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Ben Sanane, Kamishna Boaz amesema jeshi hilo linaendelea na upelelezi ili kubaini mahali alipo na kilichomsi

EATV
Hii Taarifa utadhani mwenyekiti wa kijiji anazungumza na wanakijiji, haipo kitaalamu kabisa
 
Mwigulu alisema ni wahamiaji haramu,leo Boaz anasema amna mtu aliewatambua kwasababu walikua wameharibika vibaya na wanaomba wananchi waendelee kuwapa taarifa zitakazosaidia kutambulika kwa marehemu hao.

Hizi ni kauli mbili tofauti. Naomba Mwigulu uje kujibu,wewe ulitambua vipi kama wale ni wahamiaji haramu?
 
Polisi yatoa tamko miili 7 na kutoweka kwa Sanane

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu miili 7 ya watu iliyokutwa ikielea katika mto Ruvu na kusema kuwa linaendelea na upelelezi kwa lengo la kuwatambua marehemu hao.

Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya JInai Kamishna wa Polisi Robert Boaz, amesema jeshi hilo bado halijawatambua marehemu hao, huku akitetea uamuzi wa jeshi hilo kuzika haraka miili ya marehemu 6 kati ya 7.

"Hatua zote za kitaalam zilifuatwa na tunaendelea kufanya upelelezi unaolenga kuwatambua marehemu hao na kujua ni jambo gani liliwasibu, tunawasihi wananchi kuendelea kutupa taarifa zitakazosaidia kutambulika kwa marehemu hao" Amesema Boaz

Akielezea jinsi jeshi hilo lilivyopata taarifa, amesema jeshi hilo lilipata taarifa za kuelea kwa maiti 7 katika mto Ruvu eneo la Mkuruge wilayani Bagamoyo kati ya tarehe 6/12/2016 hadi 9/12/2016 ambapo askari na daktari walifika katika eneo la tukio na kufanya uchunguzi wa kitaalam.

Amesema miili 6 kati ya 7 ilikuwa imeharibika sana na ndiyo maana iliamuliwa zizikwe katika eneo la tukio wakati moja yenye unafuu ikipelekwa hospitali ya wilaya ya Bagamoyo hadi tarehe 16/12/2016 ilipozikwa na halmashauri baada ya kutotambuliwa na tu yoyote.

Kuhusu kutoweka kwa msaidizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Ben Sanane, Kamishna Boaz amesema jeshi hilo linaendelea na upelelezi ili kubaini mahali alipo na kilichomsi

EATV
yaleyale ya abdalah zombe
 
Kweli JF ni kisima cha habari waziri amekuja na maelezo yake sasa amemtuma tena msaidizi wake, jamani hii jf aiacheni tu ndio njia rahisi ya sisi kuwafikia kwa habari na shida zetu mkiifunga mtakosa mengi sana.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom