Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,398
- 14,514
Jeshi la Polisi limewataka wananchi kupuuza picha mjongeo inayosambaa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha."
Polisi wamefafanua kuwa hizo zilikuwa sherehe za kimila za kabila la Wamasai za jando zilizofanyika Juni, 2025 ambapo vijana hufundishwa na kujengewa maadili.
Polisi wamefafanua kuwa hizo zilikuwa sherehe za kimila za kabila la Wamasai za jando zilizofanyika Juni, 2025 ambapo vijana hufundishwa na kujengewa maadili.