Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,906
- 7,125
Nimetafakari na kujiuliza kama jeshi la polisi lina utaratibu wa upimaji utendaji kazi wa askari wake.
Vigezo vya kumpandisha cheo ni muda aliohudumu ama afanye tukio tu?
Naomba kufahamu, pengine tunawaonea bure tu kulalamika mambo yetu hayaendi yanapofika kwao.