Polisi wavamia Tallying Center ya UKAWA na kuizima

Polisi wavamia Tallying Center ya UKAWA na kuizima

Polisi wamevamia kituo cha ukawa cha kupokea na kujumlisha kura zote nchini na kuzima mitambo. Huku ccm wana kituo kama hicho kipo Mlimani city kimeachiwa kiendelee na kazi mpaka muda huu

Sasa kazi hiyo ya ku-tally walipewa Ukawa? Nilisema tangu mwanzo mtaanza kulia nyau hata kabla ya kura kuhesabiwa.
 
hii ndo tanzania mimi aaaaah nitafute hela zangu siasa pembaniiiii nshaona tunawatafutia watu nambna ya kula nchi tu hakuna cha maana
 
Wakimaliza kujumlisha wanajitangaza

Hapo ndio kwenye shida CCM nao wakimaliza kujumlisha wajitangaze washindi halafu wafuasi wao wote wakutane barabarani wakishangilia ushindi unategemea nini?
 
Polisi wapo too local and very manual. Kumbe bado wapo kwenye mfumo wa Analogy?
 
Hivi hao polisi hakuna wanaoishi kitaa?

Manake kama wapo masela inabidi wawe wanakamata mmoja mmoja....
 
Hapo ndio kwenye shida CCM nao wakimaliza kujumlisha wajitangaze washindi halafu wafuasi wao wote wakutane barabarani wakishangilia ushindi unategemea nini?

unategemea viongozi wa ukawa wakubali matokeo tofauti na haya tunayopata kwenye vituo vyote nch nzima?hapa sasahivi kila anayepata tarifa anayajumlisha sasa kama tume ikitoa majumuisho tofaut tuwafanye nini?tunataka matokeo halali haijalish nani kakosa
 
Hii nchi si huru pia ina kivuli cha mfumo wa vyama vingi
UKAWA wana Haki kimsingi ya kujumlisha kura zao kwasababu wana maslahi na hizo kura halafu ni mali yao
 
Maajabu ya Musa haya-yaani mtu huruhusiwi kujumlisha kura zako ambazo zimekwisha hakikiwa. Wakikosea kukujumlishis utajuaje? Kuna jambo hapa!!!!!! Au Ndiyo lile goli la Nape?
 
Quinine--hv kama nyie Mna tallying center, Sasa tume itakuwa na kazi gani ya kufanya?
 
Labda lugha inasumbua. Hicho ni kituo cha kujumlishia kura za CHADEMA toka kwa mawakala wao!! wanahitaji kibali cha nini?
Huyo jamaa nimemuuliza kama anajua maana ya tallying, wanataka Chadema kisijumlishe kura zake.
 
Nashukuru kama ukawa wana vituo zaidi ya 250 kama hivyo nchin nzima
 
Back
Top Bottom