Polisi watanda kwa Mo Dewji

Huu ni unafiki wa kichawi
 
Hapa utakuta jamaa hata passport kanyanganya na hatakiwi kutoka nje ya nchi. Huu ulinzi wanaosema ni wakumbana asiseme wala asiongee na vyombo vya habar kile kilichomkuta.
YAN TUNANEEMEKA KULIPA KODI ILA ZINATUMIKA KUTUNEENESHA PIA.
 
Hivi Mo aliokolewa na polisi au alirudishwa na walewale watekaji wenye huruma, waliokuwa wakipa misosi yote aliyokuwa akihitaji?

Huu ulinzi hauna maana yoyote na ni matumizi mabaya ya rasilimali zetu.
 
wanamlinda asiseme anayoyajua kuhusu kukamatwa kwake
 
wanamlinda asiseme anayoyajua kuhusu kukamatwa kwake
hata wewe ukiomba ulinzi utapewa tu kama uko hatarini na ushahidi upo ndo sheria zetu zinavyosema.
 
Naye Mo kaona isiwe noma, kaamuwa kujifungia na kupiga tizi home tu! isije ikawa yale yale mwaya...πŸ™‚πŸ˜€πŸ˜Ž
Hivi kweli na kijifua kwote huku Bw. Mo alishindwa kabisa kuwapa vitasa vya Kisingida wale wahuni?!
 
kama hamkuweza kumuokoa mtawezaje kumlinda?
Maana katekwa wiki nzima.mpaka wakaamua kumrudisha wenyewe.
Inachekesha.
 
wanamlinda asiseme anayoyajua kuhusu kukamatwa kwake

Ulinzi gani huo? kwa kutumia kodi zetu kumlinda Bilionea? je mabilionea wengine kama Bakhresa, Mengi, Sabodo, Manji, Subash Patel, Nauresh etc nao watalindwa kama Mo kwa kutumia kodi zetu?
 
Ukitema nchale na ukimeza ni nchale..

MTU kati
 
Mambo yote yanapatikana awamu ya tano tu kama aya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…