mgoc wa ndima
Member
- Mar 9, 2012
- 26
- 3
Makonda anawakilisha watendaji wabovu waliopewa vyeo vya bure simshangai,gwajima nakuombea heri upone haraka ukemeee mwingine akileta ujinga
Hii kesi kwa sababu inamhusisha KAFIR itamalizwa kimya kimya...kwa kuwa hata hao wanaomhoji ndio wale wale lakini kosa hili hili angelifanya muislamu kungezuka mengi sana na dunia nzima ingefahamu kupitia vyombo vyao vya habari..lengo likiwa ni kuupa uislamu taswira mbaya machoni mwa jamiii........
Makonda ni Mpum.bavu sana!. Sijui wamelipata wapi hili limbukeni la namna hii kuliweka kwenye ofisi ile? Kinondoni ondoeni hii bughudha isyokuwa na kazi za kufanya zaidi ya show.
Hii kesi kwa sababu inamhusisha KAFIR itamalizwa kimya kimya...kwa kuwa hata hao wanaomhoji ndio wale wale lakini kosa hili hili angelifanya muislamu kungezuka mengi sana na dunia nzima ingefahamu kupitia vyombo vyao vya habari..lengo likiwa ni kuupa uislamu taswira mbaya machoni mwa jamiii........
Hii kesi kwa sababu inamhusisha KAFIR itamalizwa kimya kimya...kwa kuwa hata hao wanaomhoji ndio wale wale lakini kosa hili hili angelifanya muislamu kungezuka mengi sana na dunia nzima ingefahamu kupitia vyombo vyao vya habari..lengo likiwa ni kuupa uislamu taswira mbaya machoni mwa jamiii........
Hii kesi kwa sababu inamhusisha KAFIR itamalizwa kimya kimya...kwa kuwa hata hao wanaomhoji ndio wale wale lakini kosa hili hili angelifanya muislamu kungezuka mengi sana na dunia nzima ingefahamu kupitia vyombo vyao vya habari..lengo likiwa ni kuupa uislamu taswira mbaya machoni mwa jamiii........
Najaribu kutafakari ni kwa nini zaidi ya 60% ya post zako zipo Kiu-dini zaidi?
KWA UFUPI
- Ni baada ya kuonekana hali yake bado haijaimarika
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, jana lilishindwa kuendelea kumhoji Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kuhusu tuhuma za kumtukana Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Askofu Gwajima alifika katika Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jana asubuhi,ikiwa ni siku mbili tangu aliporuhusiwa kutoka katika Hospitali ya TMJ alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Wakili wa askofu huyo, John Mallya alisema jana kuwa mteja wake alifika kituoni hapo saa 2.10 asubuhi, lakini Msaidizi wa Mkuu wa Upelelezi Kanda ya Dar es Salaam alipomuona, alisema hawawezi kumhojiano kwa kuwa afya yake haijaimarika.
Alitutaka turudi na badala yake kufike kituoni hapo Aprili 9, mwaka huu, alisema Wakili Mallya aliyeongozana na Askofu Gwajima pamoja na wachungaji wanane wa kanisa hilo.
Askofu Gwajima alijisalimisha mwenyewe kituoni hapo Ijumaa iliyopita, baada ya kutakiwa kufanya hivyo na Jeshi la Polisi, akituhumiwa kumkashfu Kardinali Pengo wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu Dar es Salaam, wakati akiendesha ibada kanisani kwake.
Awali, wakati akihojiwa, aliishiwa nguvu na hatimaye kupoteza fahamu, hivyo kupelekwa hospitali kwa matibabu.
Katika hatua nyingine, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema Askofu Gwajima lazima atahojiwa na ofisi yake ili kujiridhisha zaidi na shughuli anazozifanya, ikiwamo umiliki na uhalali wa kutumia eneo la Kiwanja cha Tanganyika Packers, kilichopo Kawe.
Makonda aliyezungumza kauli hiyo akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani hapo, alisema lengo la uamuzi huo ni kuepuka athari zinazoweza kujitokeza.chanzo.Polisi washindwa kumhoji Gwajima - Kitaifa - mwananchi.co.tz
Aisee jibu rahisi mwambie Wewee aunaubia nashetani...Mimi si mdini....
Aisee jibu rahisi mwambie Wewee aunaubia nashetani...
Kosa LA Gwajima ni lipi?
Mallya ni mshamba, yeye kama mwanasheria, kwanini anaruhusu wamhoji? suspect akifika polisi maelezo anachukuliwa kwa hiari wala si kwa kulazimishwa. una uhuru kusema mimi sitaki kutoa maelezo nitaenda kujitetea mahakamani, period. ndio maana polisi wa kuchukua maelezo yako akifika tu anatakiwa kukwambia tuhuma yako, na kukkueleza kuwa upo kwaajili ya kuchukuliwa maelezo, ila unao uhuru kutoa maelezo au kutotoa. ukisema sitatoa basi, utaenda kutoa mahakamani wakati wa kujitetea kwako. ukisema nitatoa, wanakupa haki za kuwa na wakili wako au ndugu rafiki etc awepo wakati wa kutoa maelezo. sasa huyu mallya sijui uwakili wake kama anaelewa au la.KWA UFUPI
- Ni baada ya kuonekana hali yake bado haijaimarika
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, jana lilishindwa kuendelea kumhoji Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kuhusu tuhuma za kumtukana Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Askofu Gwajima alifika katika Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jana asubuhi,ikiwa ni siku mbili tangu aliporuhusiwa kutoka katika Hospitali ya TMJ alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Wakili wa askofu huyo, John Mallya alisema jana kuwa mteja wake alifika kituoni hapo saa 2.10 asubuhi, lakini Msaidizi wa Mkuu wa Upelelezi Kanda ya Dar es Salaam alipomuona, alisema hawawezi kumhojiano kwa kuwa afya yake haijaimarika.
Alitutaka turudi na badala yake kufike kituoni hapo Aprili 9, mwaka huu, alisema Wakili Mallya aliyeongozana na Askofu Gwajima pamoja na wachungaji wanane wa kanisa hilo.
Askofu Gwajima alijisalimisha mwenyewe kituoni hapo Ijumaa iliyopita, baada ya kutakiwa kufanya hivyo na Jeshi la Polisi, akituhumiwa kumkashfu Kardinali Pengo wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu Dar es Salaam, wakati akiendesha ibada kanisani kwake.
Awali, wakati akihojiwa, aliishiwa nguvu na hatimaye kupoteza fahamu, hivyo kupelekwa hospitali kwa matibabu.
Katika hatua nyingine, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema Askofu Gwajima lazima atahojiwa na ofisi yake ili kujiridhisha zaidi na shughuli anazozifanya, ikiwamo umiliki na uhalali wa kutumia eneo la Kiwanja cha Tanganyika Packers, kilichopo Kawe.
Makonda aliyezungumza kauli hiyo akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani hapo, alisema lengo la uamuzi huo ni kuepuka athari zinazoweza kujitokeza.chanzo.Polisi washindwa kumhoji Gwajima - Kitaifa - mwananchi.co.tz
Ngoja ninyamaze maana nikikujibu nitaonekana mimi ndiye niliyetukana...maana kamba hukatikia pembamba....
Hahaaaaaamkama atutukani tunakemea kamagwajima hayomaandikoyabiblia
Acha chuki kwa Wakristo. Yale majengo yaliyokuwa ya chuo cha TANESCO kule Morogoro wangekuwa wamepewa Wakristo ingekuwa ishu kubwa hakika.