Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
KAZI YA POLISI NI KULINDA USALAMA WA RAIA, TUWAPE HESHIMA YAO.
Katika kazi kubwa na yenye lawama ni kazi ya Jeshi la Polisi. Hata ukitenda haki wewe utadharaulika tu.
Basi Polisi japo hata mishahara yao ni kidogo na ninyi wabunge mna mishahara mikubwa takribani 12.3m basi msiwadharau wapeni haki yao ya kikatiba kama walinzi wa RAIA.
Msitumie vyeo vyenu vya Ubunge kuwakatalia pale mnapokutwa na makosa. Kumpiga au kumtusi hadharani Polisi ni DHAMBI kubwa sana. Fikiria Mimi ni Mwalimu halafu mwanafunzi kisa baba yake mbunge anitusi au anirushie ngumi, unafikiri nitakubali fedheha! Ni kichapo tu.
Tuwalinde na kuwatetea Maaskari Polisi pamoja na kuwatia moyo ili wazidishe kuimarisha Ulinzi wa Taifa kwa raia.
Mimi najitolea kuwatetea Jeshi la Polisi kuwa kama MTU anatumia Cheo chake kudhalilisha Jeshi letu tukufu ni bora tumuenzi Mh. Pinda "WAPIGWE TU"
Deogratius Nalimi Kisandu.
12 Januari 2017