Polisi wapambana na raia Misri

Polisi wapambana na raia Misri

sulphadoxine

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,257
Reaction score
649
110620134253_egyptnocred.jpg
Maandamano Misri


Mamia ya jamaa wa Wamisri waliouwawa au kujeruhiwa wakati wa maandamano ya kumuondoa Rais Mubarak, wamepambana na polisi nje ya mahakama ambayo inafanya kesi ya waziri wa mambo ya ndani ya nchi wa zamani.
Waliyarushia mawe magari ya polisi baada ya kutangazwa kuwa kesi ya Habib al-Adli inaahirishwa hadi mwezi ujao.
Bwana Adli ameshtakiwa kwa kutoa amri kuwa waandamanaji waliokuwa wakipigania demokrasi wauwawe.
Rais Mubarak mwenyewe anatarajiwa kufikishwa mahakamani mwezi wa Agosti.


 
ngoja siku tutakapo pata uhuru wetu kamili kutoka kwa hawa makaburu weusi ndio tutakapoa wanyoosha na sheria kuchukuwa mkondo wake
 
Back
Top Bottom