Polisi wanaswa na meno ya tembo

Ngoja Shehe Ponda atakuja kukanusha na kusema wanaonewa.
 



Hakuna dini inayoruhusu uhalifu hivyo muhalifu kwanza kaikosea dini na muumba wake"deviant" sasa hapo ndo ujue dini kwa huyu sio issue
 
Tumeshawazoea hadi tumechoka na hatua hazichukuliwi juu yao. Ni kero tupu jeshi hili la polisi
 
mkiambiwa kuwa serikali na mamlaka zake ni LEGE LEGE NA DHAIFU (IMPOTENT) mnalia lia tu, hakika natamani ningeishi kipindi cha utawala wa Chief Mangungo wa Msovelo.

Utasikia askali wametoweka mikononi mwa polisi kama wale wa magunia ya bangi. Kweli serikali yetu ni IMPOTENT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…