Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,780
- 3,330
Hapo watakuwa wamepewa chimbo jipya la hela.Tangu waziri wa Mambo ya ndani atangaze kuwa kutakuwa na ukaguzi, polisi wanazunguka mahotelini usiku wa manane na kugonga milango kwa nguvu kama umevamiwa na majambazi.
Kwa wageni hii ni aibu, fikiria mtu umechoka, saa 8 huu usiku unagongewa mlango kwa nguvu kama vile ni mhalifu.
Nchi hii viongozi wenye akili wako wapi?
kwa hiyo mapolisi wenu wamekuwa ICE wa MarekaniTangu waziri wa Mambo ya ndani atangaze kuwa kutakuwa na ukaguzi, polisi wanazunguka mahotelini usiku wa manane na kugonga milango kwa nguvu kama umevamiwa na majambazi.
Kwa wageni hii ni aibu, fikiria mtu umechoka, saa 8 huu usiku unagongewa mlango kwa nguvu kama vile ni mhalifu.
Nchi hii viongozi wenye akili wako wapi?