Polisi wanaruhusiwa kumlinda mchungaji madhabahuni wakati ibada ikiendelea?

Leo kwa mshangao nimemuona askari polisi akiwa madhabahuni anamlinda mchungaji huku ibada ikiwa inaendelea. Ibada hiyo inafanyika kanisa la Pool of Sloam mbezi beach na kurushwa moja kwa moja na Star tv. Ndio nauliza jambo hili ni sawa?....Source Star tv muda huu!
TRA wamewashauri sadaka zilindwe
 
Leo kwa mshangao nimemuona askari polisi akiwa madhabahuni anamlinda mchungaji huku ibada ikiwa inaendelea. Ibada hiyo inafanyika kanisa la Pool of Sloam mbezi beach na kurushwa moja kwa moja na Star tv. Ndio nauliza jambo hili ni sawa?....Source Star tv muda huu!
Si walisema Huduma ya ulinzi Ipo kwa yeyote anayehitaji?tena alfu kumi tu
 
Siloam ni kanisa lililopotea, wanaamini mungu mtu Ebenezer Munuo ambaye wao wanamuita Nabii Eliya Mungu aliye juu, wanaamini Yule mchaga wa bomang'ombe alikuja badala ya Yesu, ni mtume mpya aliyekuja kubadili Yesu, na hata Damu ya Yesu au Jina la Yesu hawaliamini sana wanasema mapepo yameshalizoea, wanaomba kwa huyo mungu wao wa kichaga aliyekuwa na watoto wa kambo hadi leo hii wapo. wamebadilisha siku, wanaongea lugha wanazozijua wao wenyewe, ni kanisa la kishetani kabisa sawa tu na mashahidi wa jehova na wasabato.

Mmmmh!JF watu wanajiamini hawaogopi kabisa kulizua ama kulianzisha timbwili aka zogo aka purukushani!
 
nasema hivyo kwasababu nalijua, munuo anapoanzisha kanisa pale makonde nilimfahamu na nilisali naye, hata huko kuzimu aliko anaweza kuwa ananiona na anajua ninachosema ni cha kweli. nilshasali hilo kanisa, nilipolifahamu nilikimbia kama ukoma. hata huyo anayehubiri star tv jamaa wa kigoma aliyekuwa anafanya ikulu zamani mwanauchumi aliyetunga hadi vitabu namfahamu, ninajua ninachoongea. kwa mtu anayejua neno atakuwa amenielewa.
 
Mashaidi wa yehova na wasabato mbona nao umewajumlisha kwa huyo unaemwita shetani!
 
Kanisa la ajabu hilo biblia yenye cover jeusi husema ina mapepo kwa hiyo hutoa maganda yote meusi pia hawaombi kwa jina la yesu wanasema yesu ndie mwenye dhambi nyingi kuliko binadamu yeyote sababu alizichukua dhambi zote za ulimwengu hivyo hawawezi omba kwa jina la mwenye dhambi.Huyo kiongozi wao alipotoa tu tamko hilo la kukufuru hakuchukua muda akafa.Wanabatiza kwa jina la Eliya sio Yesu.Huyo nabii eliya wao huona ni mtakatifu kuliko Yesu waliobatizwa kwa jina la yesu walirudiwa tena kubatizwa kwa jina eliya kufuta ule ubatizo wa kwanza.Huyo askari labda awe alikuwa akimsubiri amalize mahubiri amkamate kama kuna kosa.Lakini kama kajigeuza body guard hapo kuna tatizo au labda iwe huyo mchungaji ni afisa mkubwa wa serikali au jeshi ambaye anatakiwa kulindwa full time
 
Siloam ni kanisa lililopotea, wanaamini mungu mtu Ebenezer Munuo ambaye wao wanamuita Nabii Eliya Mungu aliye juu, wanaamini Yule mchaga wa bomang'ombe alikuja badala ya Yesu, ni mtume mpya aliyekuja kubadili Yesu, na hata Damu ya Yesu au Jina la Yesu hawaliamini sana wanasema mapepo yameshalizoea, wanaomba kwa huyo mungu wao wa kichaga aliyekuwa na watoto wa kambo hadi leo hii wapo. wamebadilisha siku, wanaongea lugha wanazozijua wao wenyewe, ni kanisa la kishetani kabisa sawa tu na mashahidi wa jehova na wasabato.
Unaweza ukawa sawa kwa mtazamo wako lakini sisi tunaombq vigezo ulivyotumia kugundua kanisa fulani ni la kishetani. Au tuambie ulipoingia humo ulimuona shateni humo. Ukinyamaza tutahisi shetani ni wewe mwenyewe
 
Japo leo sikutazama ila mara nyingi mhubiri wa kanisa hilo huwa anahubiri akiwa amezungukwa na body guards 2 nyuma yake. Japo nao huvaa nguo nyeupe kama yeye. Lakini utaona kila mara wakijitahidi kucover nafasi zao pale anapokuwa ana tembea huku akihubiri madhabahuni. Walinzi wake ni kijana 1 mweupe na mtu mbaba mzee kidogo.

Binafsi hujiuliza kwanini awe na walinzi, madhabahuni? Je huyo wanayemuhubiri na kumwamini hawezi kuwalinda?
 
Siloam ni kanisa lililopotea, wanaamini mungu mtu Ebenezer Munuo ambaye wao wanamuita Nabii Eliya Mungu aliye juu, wanaamini Yule mchaga wa bomang'ombe alikuja badala ya Yesu, ni mtume mpya aliyekuja kubadili Yesu, na hata Damu ya Yesu au Jina la Yesu hawaliamini sana wanasema mapepo yameshalizoea, wanaomba kwa huyo mungu wao wa kichaga aliyekuwa na watoto wa kambo hadi leo hii wapo. wamebadilisha siku, wanaongea lugha wanazozijua wao wenyewe, ni kanisa la kishetani kabisa sawa tu na mashahidi wa jehova na wasabato.
Hahahah kazi wanayo!!!
 
Unaweza ukawa sawa kwa mtazamo wako lakini sisi tunaombq vigezo ulivyotumia kugundua kanisa fulani ni la kishetani. Au tuambie ulipoingia humo ulimuona shateni humo. Ukinyamaza tutahisi shetani ni wewe mwenyewe
halafu, kwani munuo mliyesema amepaa mbinguni baada ya kukaa mochwari siku tatu mkaenda kuchimba kaburi kuelekea bagamoyo nani aliwaambia yeye ndio mbadala wa Yesu? yeye ndiye mtume wa mwisho wa Mungu yaani Eliya, who told you so, kama hamdanganywi nyie, kimbieni.
 
Back
Top Bottom