Polisi wanamhanya kibaka Scorpion anayechoma watu visu na kuwatoboa macho?

Ndiyo maana hata mwananchi kutoa taarifa ya uhalifa inamuia ugumu hasa,maana ataweka rehani maisha yake na bila msaada
 
Utadhani tumefundishwa kuwa waoga...itafika wakati tutawaogopa hata mende na kuacha kuingia chooni.
 
MH.MWIGULU YUPO MTU ANAITWA SCORPION HUKO BUGURUNI / MPAKA LEO HII MMESHINDWA KUMTIA NGUVUNI NA KUMFUNGA MAISHA.../ AIBU KWA JESHI LETU TUKUFU HII..../
•MAANDAMANO SI HATARI.
•MTU ANAYEHATARISHA UHAI AU KUDHURU MTU NI HATARI ZAIDI.
:::TUNAOMBA AKAMATWE NA AFUNGWE MAISHA JELA YA KAZI NGUMU.
 
Lawama ziende kwa polisi lakini lawama nyingi zaidi ziende kwa wakazi wa buguruni na wafanyabiashara walioshuhudia matukio ya huyo Scorpion bila kuchukua hatua yoyote ni suala la aibu kusikia huyo kiumbe bado yupo hai hadi leo
Hao jamaa wa hivyo Wapo NA maranyingine wanajulikana hadi makwao...
 
Sasa wewe unalaumu polisi! mtu kama huyo mwenye dhamira ya kuua hadharani na wewe mwananchi una mtazama tu.halafu unakuja kulaumu polisi huku mtandaoni,sasa subiri aje akufanyizie na wewe na kula hiyo 0713 akili ndo itakukaa sawa.
Povu la nini sasa,kwani ukichangia bila ya kutukana hutaeleweka mkuu?
 
Wanaume wa Dar ni zaidi ya mashga, huwezi fanya upuuzi huu kanda ya ziwa watu wakakuangalia tu. Inauma na kutia hasira
 
Wengi wetu ndo tumejua au kufahamu baada ya GEA kurusha kwenye kipindi, Na usikute wazembe ni sisi wananchi hivi kweli wananchi mnashuhudia hayo MNASHINDWA KUREPORT POLISI, mana kama kuna aliwahi kureport na hakuna kilichofanyika ndio tulaumu, isije ikawa wananchi wenyewe wamekaa kimya hawalizungumzii hili n.k. Lakin kama LIMESHAWEKWA WAZI BASI HANA MUDA MREFU ATAKAMATWA TU. Pole kwa walofikwa na maafa na Nduli huyu.
Dada ifikie hatua nyie wanawake mchukue hatua maana kaka zenu wameshindwa, inasikitisha sana mtu hadi anatobolewa macho wanaume wenu wamekaa kukatwa kucha salon. Shenzytype kabisa
 
huyu haina haja ya polisi naamini peke yangu ningemaliza hilo tatzo yenani hasa awanyime watu amani hatupendagi ujinga sisi
 
Kilichonisikitisha zaizi ni wanaume wa dar kuanzia madereva bodaboda mpaka raia na wafanya biashara kushuhudia jamaa anamchoma visu mtu hadharan anambeba anaenda kumtupa barabarani anamtoa macho, wote wanatazama hakuna anaye thubutu hata kusema neno eti wanamuogopa ukisema kesho anakurudia.
Yani wanaume zaidi ya 40 wanamuogopa kibaka mmoja ambaye hana hata bunduki ana visu.
Sasa hawa ndiyo kweli wangeweza kujenga ukuta mbele ya askari polis wenye vitu vya ncha kali?
Wanaume wa cku iz chips zimewaharibu wamekuwa waoga

Bavicha at work, negative masaa 24
 
Juzi kuna teja kabishana na abiria wa kwenye daladala baada ya teja kumchafua abiria kwa kulazimisha kupitisha mizogo dirishani. Baada ya mabishano kidogo teja kaingia kwenye daladala na kuanza kumkata jamaa na kiwembe kwenye mikono. Tukio hilo limetokea abiria wakishuhudia na teja hakukimbia. Kama si watoto kwenye gari nilitaka kumshukia yule teja hakyamama.
Mkuu, na wewe ni mwanaume wa huko huko Dar?
 
Na nyie mademu wa Dar, hivi mnajiamini kabisa kabisa kuongozana na hivi vijidume vya Dar, mkajiamini uko na mwanaume kweli! Yaani ukiwaona wanavyojazana Jim utadhania ni wakakamavu, kumbe ni misponji tu, wanawadanganya midemu yao eti kifua... Te te te teeh! Siamini kama wanafanana na sisi hawa jamaa, au ni jinsia ya tatu Mungu anatuletea mubashara ili tuandike kwenye vitabu vyetu.. Avunje macho mtu ninayemfahamu nikiwa namuona hivi hivi, na kisu, thubutuuu!! Haiwezekani... Manati ya mzungu kweli hapo sikai, ila kisu!
Demu wa Dar anachoangalia yeye ni mwanaume anayejua kutumia smartphone, anayejua bei zake, anayejua viwanja na anayejua kuendesha magari ambayo ni Auto tu basi....sasa wewe chukulia poa kutembea kwa miguu kutoka red cross hadi Posta au mivinjeni hado bandari, au majumba sita hadi banana au Mikadi hadi Chadibwa halafu mademu wa Dar wakuone uone jinsi utakavodharaurika mjini. Au wakuone unaenda Posta na ufunguo kwenda kuchukua barua ulizotumiwa watakushangaa sana
 
Yaani kwa taarifa hii inavyosikitisha harafu kila leo tunaona askari wetu wakifanyia mazoezi ya barabarani kwa mbwembwe nyingi hapa ndipo napata swali la kuhoji weredi wa jeshi letu la polisi kwa raia wake hasa wanao onewa hadhalani upo wapi?au ishu nikupambana na waandamanaji tu?
 
Kilichonisikitisha zaizi ni wanaume wa dar kuanzia madereva bodaboda mpaka raia na wafanya biashara kushuhudia jamaa anamchoma visu mtu hadharan anambeba anaenda kumtupa barabarani anamtoa macho, wote wanatazama hakuna anaye thubutu hata kusema neno eti wanamuogopa ukisema kesho anakurudia.
Yani wanaume zaidi ya 40 wanamuogopa kibaka mmoja ambaye hana hata bunduki ana visu.
Sasa hawa ndiyo kweli wangeweza kujenga ukuta mbele ya askari polis wenye vitu vya ncha kali?
Nyumbu za mikoani bwana, mmeona ndio kiki yenu... Hebu tuondoleeni hiyo midomo kunuka na mishombo hiyo..
 
Back
Top Bottom