Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,341
Polisi mara nyingi wakikamata watumiaji au wauzaji wa madawa ya kulevya hutaja thamani na bei ya madawa hayo kwa gram au kilogram. Hii biashara ya madawa haijahalalishwa na inafanyika kwa usiri mkubwa ,Je wao huwa wanajuaje bei halisi na kufanya tathmini?
Na yale madawa yanayokamatwa huwa yanaenda wapi?
Na yale madawa yanayokamatwa huwa yanaenda wapi?