Wanatakiwa watii kiu zao.Kama mioyo yao inawatuma kulinda walinde usama wa wananchi otherwise watakuwa kama mashine tu wanaendeshwa. Maana yake ni kwamba wachanganye na akili zao katika kupiga raia.Maana tunakoenda tutaoneana aibu sana.Amani kwenu
Ukweli ni kwamba hata Police men nao wamechoka na uongozi tulionao ila tu wanashindwa wafanyaje
kutokana na "NDIYO AFANDE". Ukikaa nao wanasema na wanauchungu wa maisha ya ndugu zao. Jeshi ndo usiseme kabisa.