Polisi wamsaka MwanaCHADEMA aliyeiba kadi za ACT

Polisi wamsaka MwanaCHADEMA aliyeiba kadi za ACT

Mkuu kwani ccm wamejitoa kuwafadhili???? mbona unalia gharama wakati haikuhusu!!!!
 
tujiulize maswali haya,
1. je hizo kadi ziliibiwa wapi?
2. kama ofisini, je mlikuta ofisi imevunjwa?
3. na kama ameporwa mwanachama wenu ilikuwaje tukio hilo la uporwaji?
4. ni nani mwenye mjukumu ya kusimamia hizo kadi zenu na alikuwa wapi wakati tukio linatokea?
lakini ninaweza amini kuwa mligawa kwa wanachama mliowalaghai, kisha wao wakaamua kufanya hvyo walivyofanya.
Khaa!! Unauliza maswali magumu kweli wakati kaishu kenyewe karahisi sana. Bora uitwe mzee wa majuzi 😛eep:
 
ACT wapumbavu. Wamefanya nini hadi wajipambanue kuwa ni chama tishio kwa vyama vingine vye siasa nchini? Na ni kwa nini wanachokitafuta ni CDM kana kwamba imeshika dola na wakaona imeshindwa kuonyesha ufanisi? Lengo la ACT ni nini hasa? Kitu hakieleweki, makelele kibao utadhani chama cha wehu!.

Polisi wawakamate kwanza kina Masele, Kinana, na wote waliotajwa mchana kweupe kupanga ugaidi. Tumechoka na upumbavu.

tujiulize maswali haya,
1. je hizo kadi ziliibiwa wapi?
2. kama ofisini, je mlikuta ofisi imevunjwa?
3. na kama ameporwa mwanachama wenu ilikuwaje tukio hilo la uporwaji?
4. ni nani mwenye mjukumu ya kusimamia hizo kadi zenu na alikuwa wapi wakati tukio linatokea?
lakini ninaweza amini kuwa mligawa kwa wanachama mliowalaghai, kisha wao wakaamua kufanya hvyo walivyofanya.
 
ACT wapumbavu. Wamefanya nini hadi wajipambanue kuwa ni chama tishio kwa vyama vingine vye siasa nchini? Na ni kwa nini wanachokitafuta ni CDM kana kwamba imeshika dola na wakaona imeshindwa kuonyesha ufanisi? Lengo la ACT ni nini hasa? Kitu hakieleweki, makelele kibao utadhani chama cha wehu!.

Polisi wawakamate kwanza kina Masele, Kinana, na wote waliotajwa mchana kweupe kupanga ugaidi. Tumechoka na upumbavu.

matusi ya nini hadi povu linakutoka? jitambue
 
Huna ABC ya sheria! kwani jinai ya kuvunja unadhani mtuhumiwa mpaka ashike fatuma? Hata kusukuma mlango kisha ukaingia ndani tayari ni uvunjaji. Huyo kijana wa CHADEMA na viongozi wa CHADEMA waliomtuma wote ni wajinga kweli.
Wakati mtu anasukuma mlango na kuingia viongozi walikuwa wapi? Na kama muda wa kazi ulikuwa umepita, mlinzi naye alikuwa wapi? Hebu jaribuni kuweka wazi mazingira ya tukio lenyewe ili tuweze kulielewa vizuri.
 
Huwezi kujenga chama makini kwa kutumia njia hizi za ulaghai kamwe chama hakijengwi kwa misingi hii unless kama mna ajenda ya siri vinginevyo mnapoteza muda wenu.
 
'ambaye hapo awali aliwahi kufika kwenye ofisi zetu kuomba uanachama na kukataliwa ' Kwi! Kwi! Kwiiii!!!
 
kwanini mwiibe vifaa vya uenezi???

DOTTO nasikitika kwamba sitakupa pole hata chembe! UMEINGIA CHOO CHA KIKE MWENYEWE ! Ukitaka kujua ukuu wa cdm MBEYA , muulize ABBAS KANDORO , NEXT TIME watamuiba yule dada yenu mpIGa kelele , HELA ZENU WAMEKULA NA KADI NA VIFAA VYENU WAMEMPA MWAMBIGIJA ! HALAFU MNASINGIZIA ETI WAMEIBA ! POOR WASALITI ! ONDOKENI HARAKA MBEYA MTAUMBUKA .
 
njoo na lissu mahakamani aulize maswali hayo,,, lakini wewe huwez,,, na huyo lisu ataumbuka tuu

Hahahahahaa naona povu likutoka ameshindwa baba yako kuidhoofisha cdm itakuwa wewe kidagaaa,Lissu mnamuogopa kumbe eehh?
 
Mwanachama wa CHADEMA, Thobias Sebastian anasakwa na jeshi la polis kwa tuhuma za kuiba vifaa vya uenezi vya ACT TANZANIA kadi na bendera. Ameiba vifaa hivyo na kuvipeleka kwenyue ofisi za chadema. Amefanya hivyo huku akidanganya umma kwa kusema kadi hizo zimerudishwa na wanachama, kadi gani ya kurudishwa haina jina, picha na sahihi ya afisa wa chama?

Huu wizi umefanywa kwa makusudi ili kukwamisha shughuli za uenezi wa chama chetu, na ikumbukwe kutengeneza kadi na bendera ni gharama, na kwa kiasi fulani huyu Bwa Thobias ametukwamisha kwani zile kadi zilihitajika sana Mbeya na wengi wamekosa kadi kutokana na kitendo chake hiki kishetani.

Kiogozi wa ACT mkoa wa Mbeya alilipoti polisi na ametoa taarifa kwenye vyombo vya habari na gazeti la JAMBO LEO LIMEANDIKA SEHEMU YA TAARIFA HIYO.

View attachment 177211

View attachment 177212

IFUATAYO CHINI NI SEHEMU YA TAARIFA YAKE KWA UMMA.



Si ungesema tu THOBIAS SEBASTIAN anasakwa na Polisi kwa wizi wa Bendera na kadi za chama chako mkuu??...CHADEMA inaingiaje tena hapo wakati hujatudhibitishia kwa ushahidi kuwa huyo ni mwanachaama wa CHADEMA at least?

Hata hvyo mwizi ni mwizi tu wala halina uhusiano wowote na itikadi ya chama cha mwizi!!....Maana kama ni wezi ACT ndio pengine kibao (hata wewe umewahi kumwibia mkeo au mumeo likely katika namna nyingi. Ukienda CCM ndiyo usiseme tena kwa sababu KARIBU WOTE NI WEZI TUUUU!..
 
Hiki chama cha wanafiki na wasaliti kimeshakufa zimebaki kelele za hii misukule ya lumumba tu
 
Ni mpumb.avu pekee yake anayeweza kuamini habari hii. Ina maana hiyo ofisi ya ACT, mtu yeyote anaingia na kujichukulia chochote anachotaka? Ina maana inafanana na vile vyoo vyenye milango ya magunia?

Kama kweli mnayemtaja aliomba uanachama, alishindwaje kuupata wakati tunaona kila siku uanachama wa ACT na kadi zake huwa vinatolewa kama njugu tu? Huwa hakuna maswali wala kujadiliwa, kawadanganye punguani, humu kuna wenye akili kukushinda wewe ambao huwezi kuwapata kwa kutengeneza habari.

kwa hiyo unahalalisha kuiba ni huruka ya wanna Chadema?
 
Back
Top Bottom