Polisi wamsaka MwanaCHADEMA aliyeiba kadi za ACT

Polisi wamsaka MwanaCHADEMA aliyeiba kadi za ACT

Heti walimuona anatoka ofisini wakati sherehe inaendelea na kukimbia na kadi,wakamuacha tu teh teh teh acha kutuchekesha
 
njoo na lissu mahakamani aulize maswali hayo,,, lakini wewe huwez,,, na huyo lisu ataumbuka tuu

kama umeshindwa kujibu maswali kwanini usikae kimya?hayo ya mahakamani ni ya nini wakati habari yenyewe umeileta hapa? kwanini hukwenda kuyaeleza mahakamani?
 
  • Thanks
Reactions: Pai
Huyu pimbi dotto analeta utani kwenye jiji la cdm,mby huyo anayewatuma pamoto kuishi sasa nyie vitoto mnapaweza kweli? Au humkuambiwa na kandoro kuwa mby si jiji la kitoto? Hicho kikundi lazima kijifie kabla ya kuanza kutambaa
 
tatizo maswali yangu wanakimbia, nawaambia njooni kwa wananchi, mbona mnapambana kwenye mitandao, na unakuta waanzisha mada wengine ni vijana wa ccm, wanabaki kutukana, mimi si mwanachama wa chama chochote ila nasikitika hizi siasa za maji taka zilivyo. watanzania si wajinga kwa sasa kiasi hiko, mtu anakuja kunifananisha na lissu badala ya kujibu hoja. twende mwaya kule kwetu kwenye mambo yalee kule.
tuwaulize kama chama wanamiradi gani mikubwa yakuweza kutushawishi kwamba hawataiba kama wengina.... tatizo kuongozwa na matukio tu hata yasiyokuwa na tija kwa wananchi ....... wajipange upya... twende bwana tukajadili mambo yenye ukweli na uhalisia rafiki
 
Tulimuona kada wa CHADEMA na siyo kamanda wa CHADEMA(CCM hoyee)akirandaranda karibu na ofisi baadae tukamuona akitoka ndani ya ofisi akiwa ana kimbia huku akiwa ameshika kadi mkononi.Kwa kuogopa kuharibu sherehe hatukuweza kumfuatilia tulikwenda kutoa taarifa kituoni.Hii habari ni vigumu kuiamini bila ya kuwa na roho ya usaliti.Waliogopa kumkimbiza mwizi waliyemuona akiwa ameshika kadi mkononi na walikuwa na uhakika kuwa zile ni kadi za chama chao na zimeibiwa.Badala ya kumkimbiza mwizi na kumkamata pamoja na vielelezo vyake wao waliogopa kuharibu sherehe ila kwenda kutoa taarifa kituoni ambako wangeweza kumpeleka mwizi na vielelezo vyake siyo kuharibu sherehe.ACT wasizuge huyu wanaye muita kada wa CHADEMA hakuiba hizo kadi kilichopo ni kwamba huyo kada ACT(kamanda wa CHADEMA)alipewa kadi kama mwanachama mpya na alipewa kwa makubaliano ya kwenda kuwatafuta wanachama wapya lilipofika swala la utekerezaji kamanda akawaingiza chaka.
 
Mwanachama wa CHADEMA, Thobias Sebastian anasakwa na jeshi la polis kwa tuhuma za kuiba vifaa vya uenezi vya ACT TANZANIA kadi na bendera. Ameiba vifaa hivyo na kuvipeleka kwenyue ofisi za chadema. Amefanya hivyo huku akidanganya umma kwa kusema kadi hizo zimerudishwa na wanachama, kadi gani ya kurudishwa haina jina, picha na sahihi ya afisa wa chama?

Huu wizi umefanywa kwa makusudi ili kukwamisha shughuli za uenezi wa chama chetu, na ikumbukwe kutengeneza kadi na bendera ni gharama, na kwa kiasi fulani huyu Bwa Thobias ametukwamisha kwani zile kadi zilihitajika sana Mbeya na wengi wamekosa kadi kutokana na kitendo chake hiki kishetani.

Kiogozi wa ACT mkoa wa Mbeya alilipoti polisi na ametoa taarifa kwenye vyombo vya habari na gazeti la JAMBO LEO LIMEANDIKA SEHEMU YA TAARIFA HIYO.

View attachment 177211

View attachment 177212

IFUATAYO CHINI NI SEHEMU YA TAARIFA YAKE KWA UMMA.

Mnafuta aibu kwa maji, sio vumbi hiyo subirini, Dotto nakushauri utafute kazi au ufanye biahsra huu umalaya utakuwa, malaya wa kisiasa hatufai
 
Huyu pimbi dotto analeta utani kwenye jiji la cdm,mby huyo anayewatuma pamoto kuishi sasa nyie vitoto mnapaweza kweli? Au humkuambiwa na kandoro kuwa mby si jiji la kitoto? Hicho kikundi lazima kijifie kabla ya kuanza kutambaa

Na mbeya wasipoangalia watakatwa ngewe, watu wanaopambana na jwtz na polis na kushinda sio wa mchezo
 
Ningeshangaa chama kimeanzishwa juzi tu kiwe na wanachama wengi kiasi hicho mbeya..!! Kama wanachama wa vyama vya siasa nchini watakuwa na tabia hii yakuchukua kadi ya chama fulani alafu baada ya muda mfupi anarudisha na kuchukua kadi ya chama kingine basi tuesabu mapema vyama vya siasa havina wanachama...ni waganga njaa..
 
Tulimuona kada wa CHADEMA na siyo kamanda wa CHADEMA(CCM hoyee)akirandaranda karibu na ofisi baadae tukamuona akitoka ndani ya ofisi akiwa ana kimbia huku akiwa ameshika kadi mkononi.Kwa kuogopa kuharibu sherehe hatukuweza kumfuatilia tulikwenda kutoa taarifa kituoni.Hii habari ni vigumu kuiamini bila ya kuwa na roho ya usaliti.Waliogopa kumkimbiza mwizi waliyemuona akiwa ameshika kadi mkononi na walikuwa na uhakika kuwa zile ni kadi za chama chao na zimeibiwa.Badala ya kumkimbiza mwizi na kumkamata pamoja na vielelezo vyake wao waliogopa kuharibu sherehe ila kwenda kutoa taarifa kituoni ambako wangeweza kumpeleka mwizi na vielelezo vyake siyo kuharibu sherehe.ACT wasizuge huyu wanaye muita kada wa CHADEMA hakuiba hizo kadi kilichopo ni kwamba huyo kada ACT(kamanda wa CHADEMA)alipewa kadi kama mwanachama mpya na alipewa kwa makubaliano ya kwenda kuwatafuta wanachama wapya lilipofika swala la utekerezaji kamanda akawaingiza chaka.

Chadema acheni wizi mtachomwa moto...!
 
Nyie ACT hamna ajenda nyingine zaida ya CHADEMA.?

Nyie chadema kwanini muibe kadi za chama cha ACT-Tanzania?
Hamjiamini sera zenu? nyie fanyeni siasa zenu na ACT wafanye zao waamuzi ni sisi wananchi, acheni upogo wa kuiba kadi na bendera.
 
Back
Top Bottom