Hii ni stahili ya tawala zote za kidunia.Polisi Jijini Dsm wanamsaka Kainerugaba Msemakweli kwa lengo la kuzima harakati zake za kufichua ufisadi wa Kagoda. Polisi mmojawapo alizungumza na gazeti la Nipashe akasema--- Hapa kituoni kuna polisi mwenzetu anamtafuta Msemakweli eti kwa kutumwa na (wakubwa?). Yaani badala ya kutafuta mwizi anatafuta mfichua siri. Hii ni aibu kwa sisi polisi. Kainerugaba alikiri kutafutwa na polisi.
Kwa maoni yangu;
Polisi kutumika kisiasa intaweza kuhatarisha usalama wa nchi.
Licha ya wezi kuenziwa hata kupewa nishani inawezakana kama mfichua wezi anaweza kunyimwa..! mimi nafurahia sana haya yote yanapotokea kwasababu kazi ya kuiangusha ccm ingekuwa ngumu kama wangerekebisha haya lakini sasas anguko lao linarahisishwa na wao wenyewe..Serikali ya CCM chini ya JK ni ya mabavu na ya kidhalimu, wezi wanaenziwa wafichua wezi wanauliwa,
Serikali ya CCM chini ya JK ni ya mabavu na ya kidhalimu, wezi wanaenziwa wafichua wezi wanauliwa,