Napenda kuona siasa za kweli na demokrasia ya kweli yene kuleta maendeleo yene tija kwa wananchi lkn siasa ya chuki ubabe vitisho matusi haitaweza kukubalika iwe ya chama tawala au vyama vingine vya siasa ..ARUSHA sasa wanatumia ubabe na nguvu kubwa ambayo mara nyingi huleta msuguano mkubwa na serikali hususan vyombo vya usalama .Ipo heshima ya kawaida ambayo inafaa mtu kuwa nayo huwezi kutumia neno la kashfa kwa mkubwa wako kama ilivofanyika wehave to be polite n patient every tym ..bakubali sana na huwa naunga mkono sana hoja zene nguvu na mantiki za chadema na vyama vingine lkn kwa inapofika swala la kushimiana inabidi itekelezwe .Wanachi tunakosea sana mara nyingi na kwanza kuidharau serikali mara nyingi utaskia vyama ,mara leo Ponda ,cjui mara nyaraka fulani fulani zikitoa AGIZO LENYE MUDA maalum ULTIMATUM... mfano ikifika saa fulani bila ya kuwaaachia watu wetu tunaandamana mji mzima kulaani kitenndo hicho ....SASA jiulize wewe ni nani maka uaimarishe serikali na malaka zake zote kama unahisi au unajua unafata sheria kwanini na wewe usifate sheria kwa misingi ya kupata haki yako kwa taratibu .Jna nilisema mara nyingi POLISI wanalizimishwa kufanya hata kazi isiyokuwa yao ..kwanini wewe usianze kutii sheria ? POlisi kama ilivyo chombo ambachokinasimamia sheria law enforcers ..wanawajibu kuzuia na kuelekeza ufanye kama sheria inavyotaka ..lkn kwa wakifeli kuzua inakuja swala la pili la kuanza mchakato wa kesi nk ..hivo jaman najua na natambua kila tukio lina nature ake c kulaumu tuu ..jiulize wewe kama wewe umetekeleza wajibu wako? ili upate haki stali ?