Polisi wa Tanzania ni wepesi sana ... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wa Tanzania ni wepesi sana ...

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mu-Israeli, Sep 4, 2012.

 1. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Polisi wa Tanzania ni wepesi sana kutumia silaha za moto dhidi ya raia wasiokuwa na hatia...

  polisi.jpg
  .
  .
  .

  Na baada ya hapo, polisi hao ni wepesi sana kutoa maelezo mengi sana kutetea matendo yao...

  polisi01.jpg
   
 2. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  umenifurahisha kwa kuwawakilisha kwa picha hiyo sina shaka hawa wadudu wanawazidi polisi akili maradufu.
   
 3. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  hii picha inafanana na kamanda kov akipiga fix waandish..!!
   
 4. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Hapa chini kwenye picha jamaa anasema........

  "... marehemu amefariki kwa kupigwa na kitu kizito kilichorushwa na waandamanaji..."

  [​IMG]
   
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  Unajua kuna msemo mmoja unasema hivi;
  "Ukiorodhesha viumbe wenye utashi mkubwa, MBWA na NYANI watakuwa nafasi za juu, ajabu ni kwamba katika mtiririko huo WANASIASA wapo chini ya NGURUWE".
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  kingkong ain't got sh*t on me...
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ungeweka na picha ya waziri wao akisema ccm haifanyi mikutano kipindi cha sensa.
   
Loading...