Polisi wa Kenya

Huyu nadhani ni kwaajili ya mfano wa afya mbaya; yaani anatumika kama sampuli kuonesha afya mbaya ya askariπŸ™‚
 
Huyu nadhani ni kwaajili ya mfano wa afya mbaya; yaani anatumika kama sampuli kuonesha afya mbaya ya askariπŸ™‚

inawezekana yupo kitengo cha upishi ndani ya jeshi la polisi
 
Ana kitambi sio haba kabisa
Kama cha marehemu wa toti
 
Huyu nina uhakika hafanyi mazoezi yoyote.

Mtumbo mkubwa anashindwa hata kuhema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…