Polisi wa FFU auliwa na Wananchi wenye hasira (Tegeta)

JAmani mbona mwaenda mbaali saaana ,mwafika Afghanistani ,yaani hayo bado hayajashinda hata yale ya Unguja ,na zaidi kule Pemba 2001 , Zenji ni kawaida na sasa imekuwa ni mazoea na karibu itakuwa kama mchezo,si unaona Palestina kule imekuwa kama mchezo kati ya raia na majeshi ya Israel ,, Yaani mpalestina anaweza kutafuta japo korokochi na kumchokoza jeshi wa Izrael ili wapate kutimuana na ni kawaida ,wapalestina wanajua kuwa probability ya kifoau kujeruhiwa ipo ,huwa wameshaondoa hofu ,ndio karibu wazenji watafikia stage hio.

Poleni sana ila mtazoea tu.

Mwiba,

Tunaongelea watu jasiri hapa, wazenji? kwa afya na ujasiri gani wanao mpaka waweze kupambana?
 
MUKE WA MUZUNGU ameshindwa kupiga picha hapo unaelewa? au inaeleweka?

mkuu, nilishuka kwenye gari kuelekea eneo la tukio nikiwa na simu. matarajio yangu yalikuwa ni kupiga picha na simu yangu lakini kwa bahat mbaya nililazimika kukimbia kabla ya kupiga picha plae risasi zilipokuwa zinapigwa kuelekea upande wetu, matokeo yake nikageuza na kurudi nyumbani. yaani nilishtuka sana, na mpaka sasa hivi nimeshindwa kulala. naona nightmares, siwezi hata kuzima taa
 
Pole sana dada. Muzungu Yuko wapi ? Au amejifungia kabatini? Siku nyingine ukiogopa uniambie kaka yako Nije kulala huko na upinde wangu,sawa dada!
 
Hii nilipata ftetesi Mida ya Mchana kuna mtu alisiia kwenye radio ya Clouds... Kuwa Mabaunsa wawili wameny
ooshwa na wananchi baada ya kuvubja nyumba za watu

huku pia nikasikia msafara wa raisi ulikuwa unapita nao ukarushiwa mawe FFU wakatia Timu kumbe wa wao waliuwawa na wao wakaua kwa Makusudi wana nchi wawili dah hatuna hata japo risasi za Rubber? huu ni uuaji kwa waratibu kwenye majeshi yetu.... ni sawa umpige Mkeo kwa Kisu badala ya Upande wa Kanga
 
hivi polisi kazi yao nikutumia nguvu tu hata bila kureason ????

poleni sana ndugu wa marehemu wote
 
Rip wananchi waliofariki na hao maaskari wakafie mbali maana wanatumwa na kujitoa ufahamu!

Yaani kama jinsi Polisi wanavyoona raha kuua raia wasio na hatia hivyo inapotokea pia polisi kufa katika matukio, ni jambo la kujivunia sana.

Kwani wao wanatuua kama kumkanyaga sisimizi, hivyo nao ni sawa na Panya tu akiingia kwenye mtego muulie mbali.

Washenzi sana hawa kwa kukubali kupokea amri toka juu hata kama wanajua zinawaumiza ndugu na jamaa zao. Ukiuliza utaambiwa eti wapo kazini, KAZI ITAKUWA BONGO HII BANA!!!!!!!!

Ona wengine wanavyotufanyia ushenzi..

View attachment 57762

Nao wakiingia kwnye kumi na nane dawa ni kumaliza tu.

WASHENZI SANA HAWA. HONGERENI SANA WANANCHI WA TEGETA na POLENI SANA WANANCHI MLIOJERUHIWA na TUKIO HILI.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kwa Tegeta, FFU wanatumiwa sana na wavamizi wa maeneo ya walala hoi. Sio mara moja nimeona mabunduki yaliyoshikwa na maFFU yakibwbwa katika site ya mtu aliyevamia, gari la FFU likiwa limepaki pembeni, FFU wamenuna utadhani wanakula ndimu 24hrs. Serikali legelege ni corrupt kwelikweli usipime! Hakuna tofauti ya FFU na mabaunsa Tegeta.
 
Pole sana dada. Muzungu Yuko wapi ? Au amejifungia kabatini? Siku nyingine ukiogopa uniambie kaka yako Nije kulala huko na upinde wangu,sawa dada!

Mmmmmmmmmmmm!!!!

Wewe na upinde wako ukifika utamkuta mzungu yupo na Bastola. Sijui nani atakuwa zaidi.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hivi hii si ni ya jana,vipi iendelee kusoma kama imetokea leo.?
Na kwa mjibu wa vyombo vya habari hakuna alieuawa.
 
Hivi hii si ni ya jana,vipi iendelee kusoma kama imetokea leo.?
Na kwa mjibu wa vyombo vya habari hakuna alieuawa.
 
mkuu, nilishuka kwenye gari kuelekea eneo la tukio nikiwa na simu. matarajio yangu yalikuwa ni kupiga picha na simu yangu lakini kwa bahat mbaya nililazimika kukimbia kabla ya kupiga picha plae risasi zilipokuwa zinapigwa kuelekea upande wetu, matokeo yake nikageuza na kurudi nyumbani. yaani nilishtuka sana, na mpaka sasa hivi nimeshindwa kulala. naona nightmares, siwezi hata kuzima taa
Pole sana kwa hizo images na inaweza take time kuisha pole
 
Back
Top Bottom