Polisi vs chadema..?!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi vs chadema..?!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by James Lwakatare, Jul 9, 2011.

 1. J

  James Lwakatare Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi nyie jeshi la polisi mmetumwa nn? Wabunge wa cdm wamewakosea nn?hv leo dr. Slaa angekuwa rais mngethubutu kuwatesa na kuwadharirisha wabunge wetu wa kipekee kiasi hiki? Jana mmemkamata mh Sugu,jan 5 mwaka huu mliwasweka ndani wah,Freeman Mbowe,Philemon Ndesamburo,mbunge wa Rombo,Joseph Selasini na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema. Mwezi uliopita Mh Mbowe alikamatwa tena Jijini Dar es salaam na kurudishwa Arusha.Na mbunge wa kigoma Kaskazini Mh Zito Kabwe alikamatwa mjini singida Kwa kisingizio cha kupitsha muda wa mkutano. Mei mwaka huu, mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu Lissu na Mbunge wa viti maalum(chadema) Ester Matiko,alikamatwa wilayani Tarime mkoani Mara na kunguliwa kesi ya uchochezi kutaka miili ya watu waliouwa na polisi ktk mgodi wa North Mara ifanyiwe uchunguzi. Hiyo serikali inayowatuma inawasaidiaje nyinyi na familia zenu?Amkeni toka usingizini,zama za ukandamizaji zimepitwa na wakati. Sisi twataka ukombozi nyinyi mwataka nn? Work up....
   
Loading...