lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
Habari zenu wakubwa kwa wadogo,kipindi cha nyuma kidogo kuna member humu JF alisema kwamba wizara ya mambo ya ndani siku chache zijazo watatangaza ajira za upolisi kwani wameshapewa kibari cha kufanya hivyo.
Siku zinasonga na wala hatujaona tangazo lolote la ajira kwa level ya graduate,je wameghairi kutangaza au inakuaje.Mwenye taarifa za uhakika tunaomba atujuze.
Asanteni.
Siku zinasonga na wala hatujaona tangazo lolote la ajira kwa level ya graduate,je wameghairi kutangaza au inakuaje.Mwenye taarifa za uhakika tunaomba atujuze.
Asanteni.