PostGE2025 Polisi tunaomba msitumike kuonea wananchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

TIETA

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2025
Posts
874
Reaction score
2,354
Tunajua njama zote zinazofanywa na wenye mamlaka fake kuwatumia polisi. Na polisi walivyo wajinga wanaingia mkenge.

Tuko kwenye point of no return. Mpende msipende tunakwenda kuikomboa nchi yetu. Mkiendelea kutumika wengi sana mtapoteza kazi zenu, mtafungwa, mtanyongwa na familia zenu zitaishi maisha ya taabu sana.

Huu ni wakati wa kuungana na wananchi. Lakini mkishupaza shingo mtavunjika na hakuna mtu atakaye waponya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…