100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,791
- 30,985
Polepole alitishia kukinukisha... Lazima wamuachie lilikua suala la muda tu, mtu kama yule anauelewa mfumo deep inside, muda huu nadhani anapigiwa simu na wakubwa kumuomba radhi..
hizi dharau ndio zinafanyaga Polisi wanastaafu kijingaa sana! mwisho wa siku ndio hivyo unaskia kafia kijijini huko bila.msaada wowoteHii nchi ina vituko sana et mtu aliyejitambulisha😂😂😂
Mchezo wa kuigiza"Haloo ilipigwa simu moja tu... Kama hamtomrudisha naweka yote hadharani mliyoyafanya 2021.. " haya ni baadh ya vionjo vya riwaya ya "jasusi" itafute...
Bora angekaa kimya tu!Ulitaka asemeje?
Labda kama unamaanisha familia ya sa100, iliyojaa damu kwa kung'ang'ania kusalia madarakani....sawa bw kinembe??Achaneni naye, familia ya laana hiyo
Ukiwa na jicho la 3 ndio utagundua,kama wewe ulivyogundua hii drama..!!Mchezo wa kuigiza
Nani akiyeshuhudia kuwa katekwa?
Michezo ya kuigiza ya wakenya hiyo
Hahahahaha hiyo ibara ya mtu aliyejitambulisha imenichekesha sana pia mkuu.Hii nchi ina vituko sana et mtu aliyejitambulisha😂😂😂
Siku wakikuteka wewe utatafuta watu wakushuhudia?Mchezo wa kuigiza
Nani akiyeshuhudia kuwa katekwa?
Michezo ya kuigiza ya wakenya hiyo
Really? Majambazi wajikamate wenyewe?Alama za vidole huwa za kazi gani nchi hiyo, Forensic inafanya kazi nchi hii?