MR. DRY
JF-Expert Member
- Oct 5, 2011
- 637
- 122
Sisi polisi wa kituo cha oysterbay tunasikitishwa uongozi wa polisi kimkoa kinondoni kwa kutudhulumu posho zetu za ulinzi wa tamasha la novemba 26 pale leaders club.
Katika tamasha hilo lililohudhuriwa na msanii fabolous kutoka marekani, polisi tuliahidiwa kulipwa Tshs. 15,000/= kwa kila mmoja.
Tumefuatilia kwa waandaaji wa tamasha tukaambiwa kuwa fedha zimeshatumwa kwa uongozi wa polisi kinondoni.
Inakuwa vigimu kufuatilia moja kwa moja kwa kamanda wa polisi mkoani hapa kutokana na taratibu za kijeshi, lakini tunajua hii ni haki yetu.
SIYO MARA YA KWANZA KUDHULUMIWA FEDHA KWENYE OPERESHENI KAMA HIZI, MARA KWA MARA VIONGOZI NDIYO WAMEKUWA WAKIJIPENDELEA POSHO ZA ASKARI WANAOTESEKA NA KAZI, IMEFIKA MAHALI SASA TUMECHOKA.
Tunaomba uongozi wa polisi makao makuu itusaidie askari tunaofanya kazi huku wengine wakifaidi jasho letu.
Source: BARUA YA POLISI OYSTERBAY, DAR