Polisi trafiki kasulu amevamiwa na kuumizwa

kajunju

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
999
315
Polisi anayeitwa trafiki kasimu amejeruhiwa sana kichwani na vijana waendesha pikipiki.tukio lilitokea ijumaa kama saa 2 usku wakti anarud nyumbani kwake eneo la makaburi akitokea mjini.inasemekana watu wawili wenye pikipiki walimfuata na kuanza kumpa kichapo had kuumizwa. Inasemekana alikuwa anawasumbua waendesha pikpiki kwa kuwatoza faini zisizo na kichwa wala mguu. Kubwa zaid alikuwa anasimama main road karibu na soko anakamata pikpik zinazopaki eneo la soko.inadaiwa wakikuta pikpik peke yake,alikuwa anaisukuma pikpik had kituo cha stand kati na ukienda kuitoa ni pesa nyingi. Malalamiko imekuwa kwamba wanakamata wakti hakuna sign post<alama> inayoonyesha usipaki. vijana wengi wanalia na matrafik wa kasulu hivyo heti wameamua kutoa fundisho. Nawasilisha
 
kaka kassimu ni msumbufu sana acha wamuoneshe si yye tu hata IDD AMIN au CH............ naye ni walewale.
Matrafiki kasulu wananyanyasa raia kama nin siju.
 
Wafundisheni adabu hao, ikibidi nyongeni kabisa kwani wametuchosha sana.
 
Nafikiri ujumbe umefika kwao. Inaonekana polisi trafik kasulu wana ubunifu wa kupata pesa. Mara fire extinguisher toka kgma wako hapa elimu yenyewe wanayotoa ni ujanja mtupu,mara utaskia trafik toka kigoma wanaweka kambia hapa. Idd amin sijaona vituko vyake barabarani isipokuwa swali ni je,nani anayewatuma trafik hawa kama yeye ndiye bosi?nimekuwa naangalia kipindi cha UBU<usalama barabarani na raia>,kinachoonyeshwa ni elimu.trafik akikukamata anakupa elimu. Apa ni twende kituoni,lete ufunguo au faini. Mim nafikiri busara itumike kwa trafik na ata sisi raia ili waendesha vyombo vya moto wawe safe alkadharika na matrafik. Kuvamiana kwa mawe na polisi kukomalia faini kutaleta maafa
 
Yupo mwingine hapa kigoma juzi alimkamata jamaa yangu na kumwambia ampe 30,000 za faini ya kuendesha gari bila leseni jamaa akasema sawa lakini aandikiwe risiti ya hayo malipo jamaa akamwambia kama anataka aandikiwe waende polisi na huko faini itakuwa laki mbili, jamaa alikomalia kuandikiwa risiti, walienda kituoni ikabidi jamaa amuone RTO na kumweleza hali halisi na kumwambia leseni anayo hivyo sheria inasema iwasilishwe kwa ofisa wa polisi ndani ya masaa 72 na sio faini,ilibidi trafiki aambiwe amuache tu kisha wakaendelea na RTO kuongea sijui nini kilitokea huko.Wamezidi sana
 
Na mgomo huu wa madaktari atatibiwa wapi? Au ccm watampeleka India?
 
Suala hl alitokan na kaz.., ambazo anazifanya kama m2 anakamatwa hana lesen anatozwa fain m2 hyu bdo analalamika kwa hyo mnafikir polis wakisimamia sheria niny mtabak c magereza zingejaa.
 
Back
Top Bottom