lastman
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 402
- 226
Jamani wanajamvi,
Kuna jambo lilikuwa likitokea kwa muda mrefu kwa polisi wa Tanga tangu enzi za Mkapa, lakini hivi pumde na Rais wetu Magufuli inaendelea na kuonesha kwamba kasi yake hawaitambui.
Napenda kuwapongeza polisi kwa ujumla kwa kazi kubwa wanayoifanya lakini kuna sehemu tunatofautiana tu pale wananchi wanapokosa haki zao za msingi.
Baadhi ya polisi jijini T wamekuwa na tabia ya kuburuza raia na kunyanyasa raia pasipo kufata weledi. Kituo cha Chumbageni polisi wamekuwa na tabia y akutaka pesa waziwazi,na pia kupokea kutoka kwa matajiri ili kwenda kushurutisha raia bila kufata kanuni.
Ombi langu:
Polisi wajirekibishe na watu wa kitengo wafanye uchunguzi maana sisi raia hatuna pa kushitaki endapo utanyanyaswa na polisi.
Rais Magufuli, hapa JamiiForums ndio sehemu pekee tunayoweza kukuonesha majibu bila woga,huko kwengine tukiripoti hawafuatilii na watakutafutia sababu yakukukomesha..