Kilio cha Wakristo na wananchi wapenda amani sasa kinaanza kushughulikiwa, ninachopenda kukosoa ni kulitoa hili kumtangazia "MWIZI" kuwa sasa naweka POLISI nyumbani kwangu ukija utakutana na POLISI.
Hivi kweli hawa Polisi wana "WELEDI" WA KUFANYA KAZI YAO KWELI, IWEJE UNAPOTAKA KUFANYA UCHUNGUZI FULANI UNATOA TANGAZO? UNAMDANGANYA NANI, KESHO UTAWAKUTA HAO MNAOWATAFUTA WAKIWA NA MAJAMBIA YAO. TUMIENI AKILI JAMANI