Polisi Oysterbay, toeni mrejesho kesi ya uvamizi clouds media imefikia wapi!!

Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
3,450
Makonda amekuwa akirudia kauli kuwa clouds hawajafungua kesi ya uvamizi dhidi yake!
Ikumbukwe kitendo anachotuhumiwa kukifanya ni kosa la jinai!!!!

Jana Ruge kaweka kuwa si kweli kuwa hawajafungua kesi,kesi walifungua Polisi Oysterbay!

Ni wakati sasa wa polisi kutueleza kesi hiyo imefikia wapi!!!
Kuna kila dalili hata hilo jalada lilishatupwa na halipo,maana haiwezekana mtuhumiwa hajui kuwa ameshtakiwa kwa kosa la jinai!

Hii inamaana hata polisi hawajajisumbua kumuita kumuhoji!
Ni aibu kwa jeshi la polisi,limeacha weledi na kutumika na watawala wapendavyo!
Its shame!
 
Kesi uliifungua wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Jana TEF wamejitia aibu du, hivi ile press conference ilikuwa ni ya TEF na waandishi wa habari ama ya Makonda na waandishi wa habari?? Je kilikuwa ni kikao cha usiruhishi au mrejesho kwa waandishi wa habari??
 
Ni kama ilikuwa kumpa nafasi bashite atambe!
 
Makonda amekuwa akirudia kauli kuwa clouds hawajafungua kesi ya uvamizi dhidi yake!
Ikumbukwe kitendo anachotuhumiwa kukifanya ni kosa la jinai!!!!
Jana Ruge kaweka kuwa si kweli kuwa hawajafungua kesi,kesi walifungua Polisi Oysterbay!
Ni wakati sasa wa polisi kutueleza kesi hiyo imefikia wapi!!!
Kuna kila dalili hata hilo jalada lilishatupwa na halipo,maana haiwezekana mtuhumiwa hajui kuwa ameshtakiwa kwa kosa la jinai!
Hii inamaana hata polisi hawajajisumbua kumuita kumuhoji!
Ni aibu kwa jeshi la polisi,limeacha weledi na kutumika na watawala wapendavyo!
Its shame!
wala hapakua na uvamizi clouds. tatizo ni wenzetu wenye sera ya kufanya siasa kutokana na matukio ya kutunga au kubuni. muhusika mkuu wa clouds amechomoa sasa tukio halina mashiko. eti mkuu wa mkoa kuvamia studio..
 
bi simba yuko wapi naona haki za binadamu zinakojolewa mchana kweupe.....

huyu makonda anatakiwa kupata haki yake ya kufunguliwa mashitaka... kwa uchochez, matumizi mabaya yA madaraka na kumiliƙi jina lisilo lake...
 
Back
Top Bottom