Kulikuwa na operation ya kufukuza machinga jijini!! Wakadakwa Chinga wote!! Sasa Polisi watajuaje huyu ni chinga!!
Fuatilia...:
Polisi: Sema msumari??
Chinga 1: Mchumari...kaa kando!!
Polisi: Sema msumari??
Chinga 2: Mchumari...kaa kando!!
Polisi: Sema msumari??
Chinga 3: Mmmm..Mmmm..Mmmh
Polisi: Aaagf huyu bubu mtoeni hapa!!
Ile chinga anatoka amejua kanusirika, akaropoka ''Achanteni''....Polisi akatahamaki haa!! mrudisheni huyo ..akakaa kando nae!!