mkuu Speaker sijakupata vizuri unamaanisha kua mafunzo ya polisi/kijeshi hapo UDSM?
Sijakosea Saint Ivuga,..
jana walikua wamejaa Nkurumah,..
na last week walikua wanatumia darasa moja huku coet,..
Wengi tulijua kawaida,ila leo nilipo ona mabunduki na mabastola
tena mbaya zaidi ni kama wanaelekezwa kushika duh,...
They are about to create a panic,watu watashindwa kusoma hapa
Hivi ndo tuseme Dar hiii hakuna mapori ya kufundishia
polisi kutumia siraha?
Naamini kabisa kwamba,hadi unafikia kuvaa magwanda ya polisi
na kubeba siraha unakuwa unajua jinsi ya kuitumia!
Kweli kabisa,nasoma room namba 101 afu room namba 102 kuna
polisi wanafundishwa kushika bastola mnataka tusomeje?
Au kwa kua hakuna watoto wa raisi na mawaziri hapa?
Vipi kama kuna risasi bahati mbaya mkaanza kupiga makelele yenu hapa?
Hatuja zoea kusoma na kuona magwanda kila mahari,...
hamchelewi kupiga risasi hewani makusudi afu mkasema
mlisahau kutoa risasi zote!
Sio fair,msipanikishe watu wakiwa wanasoma bana,..
kuna mapori kibao,..vyuo vya mafunzo ya polisi vimejaa!
Hamkawii kutunyakua vi-laptop vyetu kwa kututishia mibastola yenu

Labda serikali ya chama cha magamba wamegues kwamba UDSM ni chuo cha wachagga! hawakawii kuzilipua kama Arusha vile!