Polisi na raia wakimgombea mwandamanaji

Polisi na raia wakimgombea mwandamanaji

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,445
Reaction score
8,418
Jamaa si atachanika jamani?

Awkward moments with cops1.jpeg
 
Haahaahaa kweli wazee wa gunia 18 za bob marley wamechoka wangewakamata wote basi
 
Wangekuwa hawa mbwa koko wa ccm, huyo jamaa wangeshamwaga utumbo...
 
huyu anabahati wangekuwa hawa wapumbavu wa hapa kwetu wangesha mtungua na bomu la kutungulia ndege...

Hivi hawa wakwetu hawajifunzi kutoka kwa wenzao kupitia picha na televisheni kukabili maandamano!
 
ha ha ha ha ha!!lazima wamvue hiyo suruali walah!
 
Kwani hawana bomu la machozi wamwangosi?

huyu anabahati wangekuwa hawa wapumbavu wa hapa kwetu wangesha mtungua na bomu la kutungulia ndege...

Hivi hawa wakwetu hawajifunzi kutoka kwa wenzao kupitia picha na televisheni kukabili maandamano!

ha ha ha ha ha!!lazima wamvue hiyo suruali walah!

Canada-Protest-Police-People-Water-Guns-Funny-Picture-.jpg

funny-protester-peeing-on-riot-police.jpg
 
Nimeipenda wapiga picha, wanavizia suruari ishuke ...
 
Back
Top Bottom