Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,972
- 13,430
Mambo zenu? eti jamani hivi ni kwanini Polisi hakupi deal mpaka akikukamata ndio anaanza kuchukua namba na kuanza kukupa madeal ya kupata mahela au hata kukusaidia pale mambo yanapokuwa sio mazuri? Nalog off