Polisi na bodabida waleta vurugu Bukoba

Polisi na bodabida waleta vurugu Bukoba

cdf

Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
18
Reaction score
0
Channel ten imeonyesha vurugu kubwa hadi mabomu ya machozi na mawe kutumika katika rabsha hiyo. Sababu kubwa ni police almaarufu kama tigo kumkamata mwendesha bodaboda baada ya kukiuka sheria. Je vitendo hivyo ni dalili ya waboda kuchoshwa na matendo ya police?
 
Mkuu ume Summarize sana,hebu leta habar
 
ni inaonyesha ni kiasi gani polisi wanafanya kazi kwa uonevu mm naamini huu uonevu una mwisho wake TIME WILL TELL
 
Back
Top Bottom