Hayo siyo matatizo yao, pammbana na hali yako.Hakuna watu nawachukia kama hawa viumbe wanaoitwa Polisi
Ndo maana mkiingia kwenye anga za wajeshi huwa wanawashughulikia
Wengi ni form four leavers ambao walifeli hawana elimu yoyote kichwan zaidi ya kuua watu, kupiga watu na kuwabambikizia kesi za kihuni tu.
Hawa ndo wamechelewesha ukombozi wa nchi yetu,kutwa kujipendekeza halafu mnakaa kwenye kota zilizochoka kama nini.
Ndo maana huwa mnakufa vibaya na mnaishiaga pabaya.Mnajionaga mmewin maisha na hiyo kazi yenu ya laana iliyojaa damu na machozi ya watu.
Mloshuhudia tukio la Pale Njia ya Goba mwezi wa nane lile gari lilokua linataka kuwagonga traffic walokua kwenye wamesimama wakiruhusu magari upande mmoja tu,basi muhusika alikua ni mimi wanatengeneza foleni za kipumbavu, halafu wanaruhusu magari upande mmoja tu kisa kuna mkubwa mmoja wa uvccm alikua anapita mtu ukichomekea tu unapigwa faini na kukamatwa, mimi waliniletea huu ujinga hasira zikanipanda nikapita pembeni nikielekea kwa spidi kwenye kisehemu walichokua wamesimama na walipokua wamekaa bahati nzuri walikwepa wote wanne walokuwepo pale (Askari polisi watatu na traffic mmoja).Mna bahati siku ile.
Nina hasira na hawa watu sana, hawa walituulia ndugu zetu tarehe 29 kwa malipo ya shilingi laki 3 na 10 ambayo hata mganga hawezi kubali akurogee mtu kwa shilingi laki 3. Polisi wote mna laana na mtazidi kufa vibaya.
Na damu mlizomwaga tarehe 29 mtazilipa zote nawaapia nyie ni kizazi cha laana na mna laana za kuuwa na kuonea watu
Tutadeal na nyie one by one subirini mtaona
Kwa akili yako ulitaka wakili kuwa wameua?Nina marafiki wengi ambao ni polisi
Nimewauliza mara kadhaa kuhusu hiki walichofanya
Wote wamekana na kusema kuwa hawajui lolote, na hawajui nani aliuwa Watanganyika na muda Gani
Tuwaelewe hawa polisi ni Watanganyika wenzetu
HapanaKwa akili yako ulitaka wakili kuwa wameua?
Nina hasira na hawa watu sana, hawa walituulia ndugu zetu tarehe 29 kwa malipo ya shilingi laki 3 na 10 ambayo hata mganga hawezi kubali akurogee mtu kwa shilingi laki 3. Polisi wote mna laana na mtazidi kufa vibaya.
Naona leo wamekunyoosha kweli kweli naona una hasira nao ile mbaya. 😀😀. Lakini angalia wasije wakakuua wewe kabla hujawaua wao.Huna akili we kiazi,nenda ukafe huko
Wapo wengi tu soon utawaona wakimrushia mawe mleta mada.Kwani humu jf hakuna mapolisi na wanajeshi?
Vyombo vya usalama wanachangia pakubwa sisi kufika hapa.Wapo wengi tu soon utawaona wakimrushia mawe mleta mada.
Najua hainihusu ila hawa jamaa wana maisha duni sana hasa wa rank za chini. Ni wabinafsi mno, nasema ni wabinafsi kwa sababu hawawazi kesho ya vizazi vyao. Hao ndio game changers lakini mpaka sasa ndio kwa asilimia kubwa wanachangia hali kuwa hivi ilivyo. Na zile nyumba zao za ALAF INTERNATIONAL. Bado sijamaliza kuandika
Sana ila acha waendelee kuwa watumwa kwa kushindwa kuona mbaliVyombo vya usalama wanachangia pakubwa sisi kufika hapa.
Hapana.makamanda wanaona mbali sana sema tu Ninyi WAHUNI ambao mnataka kuvuruga amani lazima muwachukie polisiSana ila acha waendelee kuwa watumwa kwa kushindwa kuona mbali