Polisi mrudishieni Pesa zake Profesa Justin Maeda Tsh milioni 74 , sio uungwana huo

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,978
28,499
Huyu mzee walimbambikia pembe za ng’ombe wakandanganya ni meno ya tembo, mzee hazijui akatetemeka akatoa pesa.

Ikabainika ni wahuni lakini cha ajabu hawajamrudishia pesa yake hadi leo milioni 74 huu sio uungwana oneni aibu hata kidogo.

Kuna matukio ukiyaangalia kwa jicho la tatu unaona polisi wanaweza kuongoza kwa kuminya haki za Raia wema, na ni mabingwa wa kubambikia kesi watu ili kuandaa mazingira ya Rushwa.

Kama msomi level ya profesa anatendewa hivo Raia wa kawaida wa kitanzania itakuaje lazima jeshi linitafakari.

Kujua zaidi kuhusu uonevu huo, soma ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

NB : binafsi hua sina imani na jeshi la polisi toka zamani na hua sitaki urafiki na polisi yeyote yule na hata ikitokea shida kwenye jamii sitaki polisi anisaidie wala mimi siwezi kumpa msaada iko hivo.
 
Imefika sehemu ukisika msiba wa polisi raia wanaufurahia.

Ishafika hawa jamaa wanamasaibu makubwa dhidi ya haki za watu na visa vinavyofahamika ni vichache tu lakini kuna mengi hua hayasemwi na wengine wako gerezani kwa mambo ya kubambikiwa kabisa inasikitisha pale chombo cha kulinda haki kinageuka kuanza kudhulumu haki Mwananchi wa kawaida atakimbilia wapi
 
Kwa nchi nyingi masikini , tofauti ya polisi na majambazi ni uniform
IMG_20211112_160343.jpg
 
Huyu mzee walimbambikia pembe za ng’ombe wakandanganya ni meno ya tembo, mzee hazijui akatetemeka akatoa pesa,
Ikabainika ni wahuni lakini cha ajabu hawajamrudishia pesa yake hadi leo milioni 74 huu sio uungwana oneni aibu hata kidogo.
Kuna matukio ukiyaangalia kwa jicho la tatu unaona polisi wanaweza kuongoza kwa kuminya haki za Raia wema, na ni mabingwa wa kubambikia kesi watu ili kuandaa mazingira ya Rushwa.
Kama msomi level ya prof anatendewa hivo Raia wa kawaida wa kitanzania itakuaje lazima jeshi linitafakari.
NB : binafsi hua sina imani na jeshi la polisi toka zamani na hua sitaki urafiki na polisi yeyote yule na hata ikitokea shida kwenye jamii sitaki polisi anisaidie wala mimi siwezi kumpa msaada iko hivo.
Tangu enzi hizo hatuna budi kutambua vyombo vya ulinzi na usalama kazi yake ni kuwalinda viongozi tu, wananchi wa kawaida jilindeni wenyewe
 
Ni kama wamepewa kibali cha kufanya ujambazi, maana hao waliofanya hivyo hawana tofauti na majambazi
 
Yule Jumanne wa kesi ya Mbowe ndio pilot wa mchongo huu. Jeshi la polisi linatakiwa liwe chini ya chombo kinachochunguza utendaji wake wakazi. Polisi wengi ni wahalifu sana na walio kwenye madawati ya upelelezi wana ukwasi wa kutisha.
 
Huyu mzee walimbambikia pembe za ng’ombe wakandanganya ni meno ya tembo, mzee hazijui akatetemeka akatoa pesa,
Ikabainika ni wahuni lakini cha ajabu hawajamrudishia pesa yake hadi leo milioni 74 huu sio uungwana oneni aibu hata kidogo.
Kuna matukio ukiyaangalia kwa jicho la tatu unaona polisi wanaweza kuongoza kwa kuminya haki za Raia wema, na ni mabingwa wa kubambikia kesi watu ili kuandaa mazingira ya Rushwa.
Kama msomi level ya prof anatendewa hivo Raia wa kawaida wa kitanzania itakuaje lazima jeshi linitafakari.
NB : binafsi hua sina imani na jeshi la polisi toka zamani na hua sitaki urafiki na polisi yeyote yule na hata ikitokea shida kwenye jamii sitaki polisi anisaidie wala mimi siwezi kumpa msaada iko hivo.

8934B228-5E05-4DC9-B471-5BEB5141BC5F.jpeg
 
Back
Top Bottom