Huyu mzee walimbambikia pembe za ng’ombe wakandanganya ni meno ya tembo, mzee hazijui akatetemeka akatoa pesa.
Ikabainika ni wahuni lakini cha ajabu hawajamrudishia pesa yake hadi leo milioni 74 huu sio uungwana oneni aibu hata kidogo.
Kuna matukio ukiyaangalia kwa jicho la tatu unaona polisi wanaweza kuongoza kwa kuminya haki za Raia wema, na ni mabingwa wa kubambikia kesi watu ili kuandaa mazingira ya Rushwa.
Kama msomi level ya profesa anatendewa hivo Raia wa kawaida wa kitanzania itakuaje lazima jeshi linitafakari.
Kujua zaidi kuhusu uonevu huo, soma ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka
NB : binafsi hua sina imani na jeshi la polisi toka zamani na hua sitaki urafiki na polisi yeyote yule na hata ikitokea shida kwenye jamii sitaki polisi anisaidie wala mimi siwezi kumpa msaada iko hivo.