Polisi Morogoro mnatunga uongo kwa faida ya nani ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,683
Reaction score
272,542
Kama chama kinachoshiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa ni kimoja hizo vurugu mnazotunga zitatokea wapi ? Tumieni njia za halali za kupanda vyeo lakini si kwa kuchafua wengine , mnatia aibu !
 
Attachments

  • RPC Morogoro atahadharisha waliopanga kufanya vurugu uchaguzi Serikali za mitaa ( 750 X 750 ).mp4
    5.2 MB
Nimeona gwaride la polisi kutisha watu Kigoma, hii nchi uhuru wa kweli toka wakoloni weusi cccm upo karibu.
 
Kama chama kinachoshiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa ni kimoja hizo vurugu mnazotunga zitatokea wapi ? Tumieni njia za halali za kupanda vyeo lakini si kwa kuchafua wengine , mnatia aibu !

Mbona huwa tunaambiwa intelijensia imeona kutakuwa na uhatarishi wa amani, sasa hapa kwanini wasiwakamate hao waliojipanga kifanya hayo in advance ili kesho jeshi liendelee na mambo ya msingi
 
Hivi huyu kilaza wa polisi akiitwa mahakamani akatakiwa kuonesha hiyo sheria inayozuia wananchi kushangilia ushindi wowote ule atasema nini. Yaani mtu analala usiku akiamka asubuhi baada ya kufuta matongotongo anaanza kuropoka hovyo namna hii ndiyo mtindo mpya wa huu utawala...masikini Tanzania!
 
Mkuu hii nchi ilipofikia anatafutwa wa kuchomoa betri tu
 
Pandawandigwa amezalisha dunderhead nyingi sana nchi nzima awamu hii.
 
Kama chama kinachoshiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa ni kimoja hizo vurugu mnazotunga zitatokea wapi ? Tumieni njia za halali za kupanda vyeo lakini si kwa kuchafua wengine , mnatia aibu !
RPC wa morogoro anaitwa nani?
 
Back
Top Bottom