Issa SLuu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 2,303
- 1,802
Mahakama ya wilaya ya ilala, imepokea maelezo ya Sanifa Bakari katika kesi ya KUMLAWITI mwanaume inayomkabiri MUMEWE, bw. ERick Kasira na mwenzake,Juma Richadi(31) yaliyowasilishwa na askari wa kituo cha polisi buguruni.
Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka matatu ya KUMLAWITI mwenzao, kumpiga picha za utupu na kuzisambaza katika mitandao ya kijamii.
Maelezo hayo yaliwasilishwa Jana na koplo Eliachi mbele ya hakimu Said Mkasiwa.
Alidai maelezo hayo amabayo yatatumika Kama ushahidi ktk kesi hiyo, aliyaandika tarehe Agosti 26,2014 ofisini kwake kutoka kwa mwanamke wa mshtakiwa bi Safina.
Alidai agosti 23,2014,Safina alimwambia alipigiwa simu na mlalamikaji katika kesi hiyo akimtaka aende kwenye nyumba ya wageni iliyopo kiwalani.
Alidai baada ya kufika waliingia chumbani nakushtukia mlango ukigongwa, baada ya kufungua aliwaona wanaume akiwemo mumewe wakiingia chumbani,Safina alikimbilia chooni,kupitia tundu LA mlango wa chooni aliwaona wakimlawiti mlalamikaji na kumpiga picha,''alidai
Alidai Safina baada ya kurudi nyumbani alipigwa na mume wake na kesho yake alitumiwa picha za tukio ilo kwenye simu ya Dada yake.
Chanzo: MWANACHI__27/FEB/16