Polisi mbaroni kwa kutumia choo cha Mugabe!

Polisi mbaroni kwa kutumia choo cha Mugabe!

matatizo mengine ni yakujitakia

unaweza jisaidia hata kwenye majani lakini hili ***** likaona
litumie choo cha rais ili likasimulie

mimi nimewahi fukuza house girl kwa kutumia toilet ya masterbedroom

ishu hapa sio usawa,ishu ni kukosa nidhamu kwa baadhi ya watu..

unamwambia marufuku kutumia hiki
anadharau

peleka jela haraka
 
We mbaguzi sana nidhamu ipi sasa hapa? mie housegirl wangu sabuni ninayotumia naye anatumia hiyo hiyo chakula ninachokula naye anakula hicho hicho... boss wangu ana choo chake mwenyewe lakini namshangaa tukienda kwenye the lager habebi wala hakuna masharti ya kise... but still tunaenda kukojolea yale makojoleo sehemu moja so which is which here? wehu tu ....wapeleke upuuzi wao huko ...yaani wewe sitashangaa ukipeleka kitoweo kama kuku home kwako ukasema mapaja yote yawe reserved for me only...na ujivue gamba acha ubaguzi kwa kisingizio cha nidhamu
 
Kiusalama alichokifanya hakifai ila adhabu kali sana angepewa onyo tu.kuhusu mabosi hiyo ni system ambayo ipo hata kwa wazungu its part of life.work hardd na wewe uwe bosi alafu urekebishe hiyo tabia
 
Back
Top Bottom