Polisi: Lissu hatoki

Lema anawasalmia hv kaja dar au anaogopa
Kip it ap MNYIKA Na Mdee

Msjali atatoka
 
Kama matoto.serikali wanashndwa kufatilia ishu za msingi wanakuwa bize na kina tundulisu kisa wanasema ukweli.aibu tanzania ata wajukuu zetu wata kuja kushangaa tunayo ya fanya
Huu ni ushabiki tu serikali gani iko bize na Lisu labda useme Polisi ndio wako bize na Lisu
 
Mm naona kimewaka ikulu jamaa halali mpk lissu awe lick up
Huo ni mtazamo wako. Lakini itakuwa vizuri zaidi kama utakwenda selo kumpelekea uji huyo mwanasheria msomi nguli rais wa TLS Tundu A. Lisu.
 
Junk state!!
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…