Sisi tunaka polisi wetu wafanye kazi zao kiulayaula, sisi raia tunaishi kiulayalay?kwa mujibu wa picha uliyoiweka huyo askari yuko makini,maana yuko nyuma ya wananchi baada ya kufanya tathmini yake na kugundua kuwa hakuna tatizo amejiweka pembeni akifuatilia kwa makini nini? kinachoendelea.T unapenda mno kufananisha polisi wa ulaya wanaosimamia mipira na polisi wetu wanaosimamia mipira pia.tutake tusitake matuki yanayotokea ktk viwanja vyao na yale yanayotokea ktk viwanja vyetu ni tofauti,fuatilia mipira ya mtaani yaani[ndondo] huone matukio yanayotokea na askari wanafanya nini? utaamini na utadhani wako ulaya soka letu tazama hata waaandishi wanavyojazana kwenye goli moja na makamera yao.
Wapi kaangalia sio hoja ya msingi, muhimu ufanisi wa kazi anayotakiwa kufanya.
kwa mujibu wa picha uliyoiweka huyo askari yuko makini,maana yuko nyuma ya wananchi baada ya kufanya tathmini yake na kugundua kuwa hakuna tatizo amejiweka pembeni akifuatilia kwa makini nini? Kinachoendelea.t unapenda mno kufananisha polisi wa ulaya wanaosimamia mipira na polisi wetu wanaosimamia mipira pia.tutake tusitake matuki yanayotokea ktk viwanja vyao na yale yanayotokea ktk viwanja vyetu ni tofauti,fuatilia mipira ya mtaani yaani[ndondo] huone matukio yanayotokea na askari wanafanya nini? Utaamini na utadhani wako ulaya soka letu tazama hata waaandishi wanavyojazana kwenye goli moja na makamera yao.
sent,delivered and replyrekebisha lugha.