Polisi Kumi Kila Kata Arumeru Mashariki

Polisi Kumi Kila Kata Arumeru Mashariki

Ni sawa na ni haki wananchi na mali zao kuindwa hata hivyo;
Wananchi na wanalindwa wakati wa uchaaguzi tu?
Hizo mali za wana Arumeru siku zote mbona hazilindwi?

Kuna tetesi kwamba Godbless Lema amepigwa mkwala kupiga kampeni jimboni Arumeru na Washili.
Wananchi wa Arumeru wamepigwa mkwara na nani,usalama wao unatishiwa na nani?

Wanawalinda Wananchi wa Arumeru Mashariki pamoja na mali zao.

Kama wewe unaona Arumeru pako salama kwa nini Lema kapewa walinzi wa jadi zaidi ya 300?
 
Wanawalinda Wananchi wa Arumeru Mashariki pamoja na mali zao.

Kama wewe unaona Arumeru pako salama kwa nini Lema kapewa walinzi wa jadi zaidi ya 300?

Mkuu, Lema ni individual ilhali Jeshi la Polisi ni institution,
sasa inakuwaje Jeshi la Polisi ligundue leo kuwa Meru siyo salama?
Kipindi chote walikuwa wapi wasiimarishe ulinzi kwa Raia na mali zao?
 
nawashangaa sana leo kuweka polisi kila kata wakati meru imeoza vijana wana kunywa pombe haramu na polisi hao hao ndio wanapokea rushwa na juzi kati kauwawa polisi mwenzao meru
 
Record ya polisi wakati wa uchaguzi inafaamika siyo kutoa ulinzi bali ni kuisadia CCM ishinde uchaguzi hakuna lingine kwahiyo chadema iandae jeshi lake la ulinzi na kusahau kabisa swala la kuwepo Polisi wala Takukuru naamini mmejifunza vya kutosha kuhusu polisi Igunga kwa kuwafungulia kesi watu walioripoti uhalifu badala ya wahalifu. hata kama wakihadi kubadilika msiwahamini bali record zao ziendelee kuwakumbusha kuwa siyo watu wa kuaminika.
 
walikuwa wapi siku zote kaka?
walikuwa wapi mpaka kimaro akaiba shamab letu?
leo kuna nini mbona waje
 
Vipi wale walinzi wa Lema, wapo wangapi?

walinzi wa lema wana any affiliation with the system?? wametumwa na serikali?? unajua mkeo akikuuliza vipi unaweza kuingiza kama MTM?? shtuka....
 
Polisi wa nini wakati mmesema kuna washili!!!
 
najaribu kupata picha ya kata na idadi ya hao polisi. Unajua kuwa kata ni kubwa kuliko kijiji? Mbona hao kumi ni wachache sana kwa kata?
 
.....hawa nao ni wapiga kura kwa taarifa yako, KURA ZA SIOI hizo
 
EL yuko kazini tayari,lengo ni kuwanyima wakazi wa arumeru mashariki nafasi ya kutafakari na kuchukua maamuzi sahihi kuelekea kampeni za uchaguzi Jimboni humo.
Wanajua kama wananchi wakitafakari kwa kina, basi watakuja na jibu la NO kwa ccm.

Lakini mleta habari hii bado hujatuambia chanzo cha habari hii tafadhali.

mkuu mi nadhani huyu atakuwa ni mwela, kwa sababu katangulia kutoa habari hata kabla ya kikao cha usalama kilichofanyika leo, aliyoyasema ndo hayo yaliyotokea kwa mjibu wa ofisa mmoja aliniambia sasa hivi, mpaka amenihoji hizi taarifa huwa tunatoa wapi, mimi mwenyewe nimesha ngaa sana.
 
Back
Top Bottom