MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,455
- Thread starter
-
- #21
Ni vigumu kuuficha ukweli.Marehemu hakuuawa kwa siri hadi picha zake zisionekane na kusambaa.hii ni kinyume na maadili.. wote waliohusika kupiga na kusambaza picha Mungu anawaona
Ukiona hivyo jua inayofuata ni zamu yako.Chukua hatua.PoliCCM juzi walimuua Akwelina, jana wakamuua Alan wa Mbeya leo wamemuua Suguta
Mungu tusaidie,labda niulze KTU hapo. Iktokea raia ana ugomvi na askari cku ukabahatika kumfuma akiwa ktk majukumu yake na ukamzaba makofi kadhaa kwa kuwa unamzidi mbavu...je hapo itakuwa Fulani kampga Fulani! Au Fulani Kampga askari....Jeshi la polisi lipo kimkakati kukwepa kuwa wao ndiyo wauaji wakuu wa Suguta aliyechomwa kisu na askari wa doria.
Wanadai askari alikuwa na ugomvi binafsi na marehemu suguta wakasahau kuwa huyo afande Marwa hakuwa pekee yake bali walikuwa askari wengine ambao kwa umoja wao wangezuia maafa hayo na kumkamata bwana Suguta na mmiliki wa bar na kuwafungulia kesi hadi kuwatia hatiani(ikiwa wangekutwa na kosa).
Nguvu hii kubwa kama itaachwa basi hakika walevi tutakoma maana itakuwa mkiwaona askari tu mnajua mwendo wa visu tu.
Jeshi la polisi kaeni chini mjitafakari mahusiano yenu na raia yakoje kwani kwa sasa hakuna anayeliamini jeshi hili imani pekee imebaki kwa JWTZ tu.
Angalieni komenti za watu inapotokea askari kafa au ajali mtajifunza mengi.
Hakuna kukwepa wala kuhusisha ugomvi binafsi na hili askari na jeshi la polisi ndiyo wauaji wakuu wa Innocent,Suguta.
Usiombee mziki wake hata ndugu zako watafungwa.Umelishambulia jeshi la polisi.Mungu tusaidie,labda niulze KTU hapo. Iktokea raia ana ugomvi na askari cku ukabahatika kumfuma akiwa ktk majukumu yake na ukamzaba makofi kadhaa kwa kuwa unamzidi mbavu...je hapo itakuwa Fulani kampga Fulani! Au Fulani Kampga askari....
Marehemu ana siri kubwa.Lakini umesema ukweli.ni vigumu sana ugomvi wa watu wawili mmoja wao kuchomwa kisu mgongoni. unawezazaje kugeuka umwachie adui yako mgongo??
hapo walikua wengi. mmoja akamchoma huku wengine wakmfanya vingine
Basi tukubali jeshi lmehuska ktk mauaji ya suguta....Usiombee mziki wake hata ndugu zako watafungwa.Umelishambulia jeshi la polisi.
Hahahahahaaaa....Washasema wao kama Jeshi hawahusiki,
Ule ni Ugomvi binafsi usiohusiana na kabisa Jeshi la Polisi,
Ila Sasa Polisi ameenda vipi na Kisu hapo hata mi sijui.
Watakwambia alijichoma. Kama risasi tu ilikata kona sembe na hiko kisu.Hakuna Burudani ambayo naisubiri kwa hamu kama maelezo ya Police juu ya hili!
Kwahili jeraha inaonekana police walimshika halafu ndio wakamdunga kisu,hivi inakuaje mauaji anahusika police mmoja wkti walikua wote mpka kufikia kumuua na kutaka kumtupa,Tutaujua ukweli kuliko matukio haya.View attachment 759954
Masihara kwenye sensitive issues kama mauaji yanakusaidia nn...Tungekuwa bado tupo kwenye mfumo wa chama kimoja bado ungekuwa una comment kifedheha kwenye mambo ya mauaji ya raia ?...Ungekuwa unakipenda ccm kiukweli , ungekuwa wa kwanza kukemea kijitenge na mauaji ya raia inayopaswa kuwalinda- Kwa kuchukua hatua, siyo kuwasafisha wauaji!.Wewe unawaelewa wakurya???? Marehemu na Marwa wote akisema nitakuchoma kisu huwa hawatanii, na kibaya waliongea kilugha. Hata kama waliwatenganisha ila alikuwa keshamjeruhi.
Very sad jamani
Rip
Hivi daktari akifanya uzembe na kusababisha kifo cha mgonjwa, ni makosa kulaumu uongozi wa hospitali husika, wafiwa inabidi walie na daktari tu??!!π‘π‘π‘Washasema wao kama Jeshi hawahusiki,
Ule ni Ugomvi binafsi usiohusiana na kabisa Jeshi la Polisi,
Ila Sasa Polisi ameenda vipi na Kisu hapo hata mi sijui.
Havihusiani wala kufananaHivi daktari akifanya uzembe na kusababisha kifo cha mgonjwa, ni makosa kulaumu uongozi wa hospitali husika, wafiwa inabidi walie na daktari tu??!!π‘π‘π‘