ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,321
- 50,544
Huwa naskia mara nyingi kwenye filamu pia hata mitaani huku kuwa mtu akikamatwa na makachero wanampeleka kituo cha kati
Au sa nyingine polisi anajitambulisha kuwa anatokea kituo cha kati. Sasa kituo cha kati ndo wapi hapo kwa mfano kwa hapa Dar es salaam kituo cha kati ndo kipi hicho hadi kinakuwa maarufu hivyo? Nimeshindwa hata ku Google nipate jibu hivo naombeni mnisaidie. Kuuliza sio ufala