Polisi KENYA msifanye hivyo, haipendezi ulimwengu mzima.

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,800
34,189
Polisi KENYA msifanye hivyo, haipendezi ulimwengu mzima.

Share hii kama pia hupendi matumizi ya mabavu katika siasa.

POLISI WA KENYA.jpg

Njia pekee ya kumuokoa Mwafrika ni Elimu, generation iliyopo sasa hivi imejaa vilaza, asilimia kubwa ya watanzania hawajasoma, hata elimu wanayopewa mapolisi pia iko ovyo. Kuanzia wazazi hadi watoto hawajasoma, kazi ipo. Najua Rais kaamua kuanza kukomaa na uchumi kwanza ila naona swala la elimu kama lipolipo tu, angevifanya vyote simultaneously, hakuna swala la muhimu kama hili.

Badala ya kua na jeshi la polisi na jeshi peke yake, ni vizuri tungeiga system kama ya US kutengenisha nguvu, tungekua na polisi, alafu tukawa na unit nyingine pembeni, hizi units mbili zote ziwe na nguvu sawa, yaani moja anaweza kumkamata mwenzake na akamwajibisha, wangewekana sawa, polisi kama huyo sasa hivi angeka aaibu mashtaka. Na uongozi wangepewa watu waliosoma na wako focused kwenye haki, viongozi wengi kwenye jeshila polisi vilaza, they simply dont care hadi mtu awanyoshee kidole.
 
Polisi KENYA msifanye hivyo, haipendezi ulimwengu mzima.

Share hii kama pia hupendi matumizi ya mabavu katika siasa.

View attachment 348261

Halafu ukisoma Katiba yao utaona mambo meengi na mazuri kama sijui Bill of rights na takataka nyingine nyiingi kama vile Marekani, na ndiyo tunaambiwa ni Katiba nzuri klk zote Afrika, wali copy & paste Katiba ya kimarekani lkn wakasahau copy &paste Wamarekani na kuwaleta Kenya!
 
Acheni upuuzi mmeona huko kwa akina trump ndio hkn mauzauza ya kuwatesa raia fuatilieni ndio mje msifie ni mwaka Jana tu mtu mweusi alipigwa risasi nakuuwawa na askari wa USA unafaham kesi jinsi ilivyoendeshwa????acheni kusifia kitumwatumwa.
 
Mkuu hapa wewe unaongelea ubaguzi wa rangi kitu ambacho kipo. Ulishawahi kuona polisi wazungu wakimsulubu kwa fimbo. mateke, magumi mzungu mwenzao?
 
Wanahasira sana hao polisi kwa kuwa defeated na alshabab si unajua tena mwanaume akipewa kichapo na mwanaume mwenzake iwe mtaani au ofisini ujue watoto na mke skani linakuwa lao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom