hivi polisi ndio wanajukumu la kuhamisha wavamizi?
ushauri wangu ni kwamba wasiliana na watendaji wako, nenda wilayani (pale magomeni) kwqni kuna watu na mabaraza husika, baada ya hapo utapatiwa taratibu na misaada, ukimaliza ndio waeza kwenda polisi na wizarani
kuanzia polisi nadhani sio protocol kwenye mambo ya ardhi... la sivyo hiyo system ingekua abused
BTW, angalia usije kuwasemea wakaku-Jerry Muro, be careful na hawa watu