johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,635
Nakuita kwa Mara ya tatu Hamza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hamza, hamza, hamza..
Uchochezi ...Kamanda wa polisi mkoa wa Katavi amesema jeshi lake limemkamata kijana aitwae Hamza Josia kwa makosa ya ujangili.
Hamza amekutwa na meno mawili ya tembo yenye uzito wa kilo 4
Source: Eatv habari
DuuhKamanda wa polisi mkoa wa Katavi amesema jeshi lake limemkamata kijana aitwae Hamza Josia kwa makosa ya ujangili.
Hamza amekutwa na meno mawili ya tembo yenye uzito wa kilo 4
Source: Eatv habari