Mbona kama imetuna?
Nina bange mfukoni naomba huyo wa pili toka mwisho aje anitie nguvuni!
Nina bange mfukoni naomba huyo wa pili toka mwisho aje anitie nguvuni!
Mwisho wapi? Na mwanzo wapi?
Hapo kwenye nyekundu ukiwa na bange huwezi kukamatwa lakini ukiwa na BANGI lazima utalala sero!!!